Je, Wanayofanya wanawake hawa ni sawa?

Je, Wanayofanya wanawake hawa ni sawa?

Ndo maana hata vitabu vitakatifu vinasema muishi nao kwa akili.hawa viumbe cjui ni mapepo màana mtu mwenye akili za kawaida kabisa hawezi kujitoa ufahamu kiasi hiki.
 
Kweli Dar hamna wanaume.
Ni kweli kabisa!! Wamevaa vizuri wanaume wa Dar hoi, wamecheza chakacha, bado. Walishamwaga radhi hakuna kitu! Sasa ni bora kigodoro, lakini kwa wanaume wa Dar bado wanaficha nyuso na kuita askari.
Bure kabisa!!
 
1464497695392.jpg
Nani kasema hajawekwa na Mtu
 
Nasemaga kuna mambo/vitu wanawake wanaweza kufanya ambavyo wanaume hawawezi hata kungekuwa na giza.
 
Acheni watu wajirushe nyieeeeeee,watu wanamaisha magumu saaana,umasikini umekithiri sababu gap kati ya masikini na matajiri ni kubwa kama kiama,sasa watu wanyonya viroba,chibuku,konyagi mwitu bagi,ngada nk ili kukimbia hali mbaya na dhiki ndani ya ubongo ndio wanaingia kwenye hayo manyanga.
 
Back
Top Bottom