mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
- Thread starter
- #21
Samahani lakini. Ulizaliwa na mama??Weweee! Acha ushamba, hiyo inaitwa "motisha" ili wajazwe mimba haraka watimize hilo jukumu la kuongeza familia.
Samahani lakini. Ulizaliwa na mama??Weweee! Acha ushamba, hiyo inaitwa "motisha" ili wajazwe mimba haraka watimize hilo jukumu la kuongeza familia.
We unaanza kukemea huku ambako mtu anaaangalia kwa chaguo lake unasahau mitaani ambapo watoto na si watu wazima wanaona live.Hii VIDEO haifai, kila kitu kinaonekana.
Nyapu yote inaonekana na vile anavyojimanua miguu huku mwishoni yule alie uchi wa mnyama, ni kichefuchefu na aibu.
Tunaomba wahusika huu uzi muupeleke jukwaa la wakubwa, huku haufai hata kidogo
Sijakemea, nimesema kwa lengo jema.We unaanza kukemea huku ambako mtu anaaangalia kwa chaguo lake unasahau mitaani ambapo watoto na si watu wazima wanaona live.
Ifike mahali tujue whats the priority..
Mimi siwezi fanya huo upumbavu pia. Ila kama mwanadamu unatakiwa ufikirie majority kwa sababu kuna na wadogo zako pia ambao hawatakua na akili kama zako.Sijakemea, nimesema kwa lengo jema.
Ujue mtu kama mimi sijawahi kuona vitu kma hivi mitaani, na hata kama nisikie kuna sehemu mtaani wanafanya hivyo, siwezi kusogea kuangalia.
Nikiangalia ndio kama hivi, ikitundukwa Video yoyote ya ajabu hapa JF.
Lakini mimi mwenyewe binafsi kudhamiria kwenda kuangalia siwezi, hapana
Wapi tena zaidi ya wale wadaslamNi wa wapi
Haya basiMimi siwezi fanya huo upumbavu pia. Ila kama mwanadamu unatakiwa ufikirie majority kwa sababu kuna na wadogo zako pia ambao hawatakua na akili kama zako.
Kuna miwanawake minguruwe inaenda kufanya uo uhuni na watoto migongoni wamewabeba kweli?
.......
Mi naona hata kufungia kazi za wasanii mitandaoni na wakati mitaani watu wanaona ULTRA PREMIUM HD hamna maana.
Ila point yako nimeielewa mkuuHaya basi
Pamoja KiongoziIla point yako nimeielewa mkuu
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na mbwa jike, ng'ombe jike, hata ngurue jike. Pia nyani ni jike ila binaadam amepewa sifa ya kua mwanamke.
Mi ninaoona hapa si wanawake bali ni majike. Na kuna ambao sifa ya mwanamke haiwafai.
mwanamke amepewa jukumu zito la kuendeleza jamii na sio kufanya kama hii hapa;
Hapa nadhani dio tz, most likely ni kenya hapa, nimesikiliza kwa makini lkn mwishoni nimesikia mtu akibonga kielizabethNi wa wapi
Mbona Mungu tunamlazimisha aje mapema?? Hivi tumesahau kbs kwamba hukumu hamna???ni laana tupu
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na mbwa jike, ng'ombe jike, hata ngurue jike. Pia nyani ni jike ila binaadam amepewa sifa ya kua mwanamke.
Mi ninaoona hapa si wanawake bali ni majike. Na kuna ambao sifa ya mwanamke haiwafai.
mwanamke amepewa jukumu zito la kuendeleza jamii na sio kufanya kama hii hapa;
Kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke na mbwa jike, ng'ombe jike, hata ngurue jike. Pia nyani ni jike ila binaadam amepewa sifa ya kua mwanamke.
Mi ninaoona hapa si wanawake bali ni majike. Na kuna ambao sifa ya mwanamke haiwafai.
mwanamke amepewa jukumu zito la kuendeleza jamii na sio kufanya kama hii hapa;
Acha kujifanya huelewi... Hapo ni tanzania liveHapa nadhani dio tz, most likely ni kenya hapa, nimesikiliza kwa makini lkn mwishoni nimesikia mtu akibonga kielizabeth
Yes stupidity and ignorance ndo influence hapoWakuu hata mtu ukimpa Uhuru kiasi gan hawez kuvua nguo mchana lazima kun influence behind