Je, Wanayofanya wanawake hawa ni sawa?

Je, Wanayofanya wanawake hawa ni sawa?

Mimi siwashangai hao wanawake, ila nawashangaa hao wanaume ambao wanaweza kuwepo hapo wakipiga hayo mangoma alafu wako normal. Duuuh, kweli WANAUME WA DAR
Achana na hao..
Kuna mijinga mingine apo imeenda kutafuta mke wa kuoa.
Shame on humanity
 
labda ni tamaduni zao. pengine wewe uko civilized unaona siyo sawa ila pengine kwao ni utamaduni wanaona ni sawa
 
labda ni tamaduni zao. pengine wewe uko civilized unaona siyo sawa ila pengine kwao ni utamaduni wanaona ni sawa
Utamaduni sikatai. Ingefanywa private with a selected audience.
Kwamba vitoto vidogo unavifundisha nini?
My concern kwa kweli si hao nguruwe ambao wameshaharibika ni hao watoto ambao maybe the next generation wanaharibiwa bila kupenda kwao.
 
Tunapozungumxia utamadun inaamana waanza kufunzwa hyo mambo tangu utoton!mfno hpo hpo dar kunamakabila hyo ni ishu ya kawaida sana week hdi week kz ni hyo tuu!!hii itawashangaza wa kishua ila watt wa mbwa hpo ndo pnywe!!!fatilia singeli zinapigwa wp ndo utaamin!!
 
Back
Top Bottom