Je wanaume kama hawa bado wapo???

Je wanaume kama hawa bado wapo???

Tumuite Yusuf wa enzi zile, hawa ma-yusuf wa sasa hawawezi kwa kweli
 
SOMA HAPA !!
Msichana alimtembelea boyfriend wake.
Baada ya kuingia chumbani,msichana
alimkumbatia na kumsalimia.
Baada ya dakika 30 yule msichana alianza kuvua
nguo zake zote na kubaki kwenye chupi na
sindiria tu.Baada ya hapo mazungumzo
yafuatayo yakafuata.
.
Msichana: Njoo basi tufanye mapenzi baby.
Mkaka:Hapana baby,sitaweza kufanya mapenzi
na wewe.
Msichana: Au mimi sio mzuri jamani,ona nimevua
nguo zangu tafadhali njoo tufanye mapenzi
nakuomba jamani.
Mkaka: Ndio wewe ni mzuri lakini vaa nguo zako
tu.
Msichana: (Akivua chupi na Sindiria)
Ona niko uchi wa mnyama kabisa
baby njoo basi tufanye mapenzi au hauko kwenye
mudi ya kufanya mapenzi jamani?
Mkaka:Vaa nguo zako tu,nina mudi lakini
sitafanya mapenzi na wewe.
Msichana: Kwa nini jamani, au hunipendi?
Mkaka: Ndio nakupenda sana lakini nasubiri
mpaka usiku wa ndoa ndio tufanye mapenzi.
Tusubiri basi mpaka siku ile ya usiku wetu wa
ndoa nakupenda na ninaheshimu mwili wako.
.
WAKAKA KAMA HUYU BADO WAPO??
.
NDIO Or HAPANA????
.
.
Tafadhali SHARE posti hii kwako
katoto kazuri ukiachana na jibu la hii mada.... Mtiririko wa mazungumzo umekosa uhalisia.. Mazungumzo ya chumnani hayawagi hivyo hata siku moja
 
hakuna hiyo, ukimwacha utasikia sijui yule mkaka hasimamishi, dawa ni kula tu hakuna nyingine
 
Huyo mwanamke alikuwa na mimba anataka jamaa agonge ili amkabidhi mzigo Ndio mchezo wao Siku hizi jamaa kagoma
 
Either shoga au ana okra... wakati unasubiri umpakue siku ya ndoa kuna washikaji wanakusafishia njia huku
 
Ila nashangaa na mdada anayeweza kuvua nguo bila kuombwa mzigo naye ni shida nyingine hata ningewa Mimi nisinge mkubalia!
 
Kama yupo au aliwahi kuwepo mwanaume wa namna hii atakuwa "clone"!
 
SOMA HAPA !!
Msichana alimtembelea boyfriend wake.
Baada ya kuingia chumbani,msichana
alimkumbatia na kumsalimia.
Baada ya dakika 30 yule msichana alianza kuvua
nguo zake zote na kubaki kwenye chupi na
sindiria tu.Baada ya hapo mazungumzo
yafuatayo yakafuata.
.
Msichana: Njoo basi tufanye mapenzi baby.
Mkaka:Hapana baby,sitaweza kufanya mapenzi
na wewe.
Msichana: Au mimi sio mzuri jamani,ona nimevua
nguo zangu tafadhali njoo tufanye mapenzi
nakuomba jamani.
Mkaka: Ndio wewe ni mzuri lakini vaa nguo zako
tu.
Msichana: (Akivua chupi na Sindiria)
Ona niko uchi wa mnyama kabisa
baby njoo basi tufanye mapenzi au hauko kwenye
mudi ya kufanya mapenzi jamani?
Mkaka:Vaa nguo zako tu,nina mudi lakini
sitafanya mapenzi na wewe.
Msichana: Kwa nini jamani, au hunipendi?
Mkaka: Ndio nakupenda sana lakini nasubiri
mpaka usiku wa ndoa ndio tufanye mapenzi.
Tusubiri basi mpaka siku ile ya usiku wetu wa
ndoa nakupenda na ninaheshimu mwili wako.
.
WAKAKA KAMA HUYU BADO WAPO??
.
NDIO Or HAPANA????
.
.
Tafadhali SHARE posti hii kwako
Kinondoni mbona wapo kama asilimia 80
 
Kuwepo tupo...

Ila kinachosikitisha ni kwamba...

Huyo mwanamke baada ya hapo anaenda kukipeleka kwa mwingine... ashawaka hapo alafu kazinguliwa...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom