Je wanaume kama hawa bado wapo???

Je wanaume kama hawa bado wapo???

SOMA HAPA !!
Msichana alimtembelea boyfriend wake.
Baada ya kuingia chumbani,msichana
alimkumbatia na kumsalimia.
Baada ya dakika 30 yule msichana alianza kuvua
nguo zake zote na kubaki kwenye chupi na
sindiria tu.Baada ya hapo mazungumzo
yafuatayo yakafuata.
.
Msichana: Njoo basi tufanye mapenzi baby.
Mkaka:Hapana baby,sitaweza kufanya mapenzi
na wewe.
Msichana: Au mimi sio mzuri jamani,ona nimevua
nguo zangu tafadhali njoo tufanye mapenzi
nakuomba jamani.
Mkaka: Ndio wewe ni mzuri lakini vaa nguo zako
tu.
Msichana: (Akivua chupi na Sindiria)
Ona niko uchi wa mnyama kabisa
baby njoo basi tufanye mapenzi au hauko kwenye
mudi ya kufanya mapenzi jamani?
Mkaka:Vaa nguo zako tu,nina mudi lakini
sitafanya mapenzi na wewe.
Msichana: Kwa nini jamani, au hunipendi?
Mkaka: Ndio nakupenda sana lakini nasubiri
mpaka usiku wa ndoa ndio tufanye mapenzi.
Tusubiri basi mpaka siku ile ya usiku wetu wa
ndoa nakupenda na ninaheshimu mwili wako.
.
WAKAKA KAMA HUYU BADO WAPO??
.
NDIO Or HAPANA????
.
.
Tafadhali SHARE posti hii kwako
Sio mkaka ila mdada wa namna wa hivyo hayupo.wadada wetu huwa tunawavua
 
Wapo wa kwenye hadithi km hii ya kwako! Ila mtaani sidhani.
 
Mi naona hakunaga unatoa tu kama ndoa ipo ipo kama hamna hamna.
 
Mwanamke ambaye kwa mara ya keansa anavua mwenyewe haijawahi kutokea, pia huyo jamaa nahisi ni hanithi.
 
SOMA HAPA !!
Msichana alimtembelea boyfriend wake.
Baada ya kuingia chumbani,msichana
alimkumbatia na kumsalimia.
Baada ya dakika 30 yule msichana alianza kuvua
nguo zake zote na kubaki kwenye chupi na
sindiria tu.Baada ya hapo mazungumzo
yafuatayo yakafuata.
.
Msichana: Njoo basi tufanye mapenzi baby.
Mkaka:Hapana baby,sitaweza kufanya mapenzi
na wewe.
Msichana: Au mimi sio mzuri jamani,ona nimevua
nguo zangu tafadhali njoo tufanye mapenzi
nakuomba jamani.
Mkaka: Ndio wewe ni mzuri lakini vaa nguo zako
tu.
Msichana: (Akivua chupi na Sindiria)
Ona niko uchi wa mnyama kabisa
baby njoo basi tufanye mapenzi au hauko kwenye
mudi ya kufanya mapenzi jamani?
Mkaka:Vaa nguo zako tu,nina mudi lakini
sitafanya mapenzi na wewe.
Msichana: Kwa nini jamani, au hunipendi?
Mkaka: Ndio nakupenda sana lakini nasubiri
mpaka usiku wa ndoa ndio tufanye mapenzi.
Tusubiri basi mpaka siku ile ya usiku wetu wa
ndoa nakupenda na ninaheshimu mwili wako.
.
WAKAKA KAMA HUYU BADO WAPO??
.
NDIO Or HAPANA????
.
.
Tafadhali SHARE posti hii kwako
Ah hao mbona walikufaga na madinosa
 
Back
Top Bottom