Je wanaoomba vyuo kwa mara ya pili wanatakiwa kulipia tena?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,007
Habari zenu wakuu,
Jamani kama sikuchaguliwa nikiomba tena nalipia upya hiyo 50000 au 30000 au inatumika ile ya mwanzo?
 
Nimekosa kuchaguliwa hii first selection wskasema tuombe upya na deadline tarehe 5 august. Je nalipa upya ile 50000. Msaada tafadhali
 
ANGALIA SIFA ZA HIZO KOZ ULIZOOMBA KAMA UNAZO NA NAFASI KAMA ZIPO WE OMBA ILA OMBA VYUO VITATU

Asante nimeona. Wameweka vyuo vyenye nafasi, kozi zilizopo na slots ie nafasi zilizopo. Asante sana. Kozi za clinical officer zote zimeisha bado vyuo binafsi na kozi zisizokuwa na ushindani
 
Back
Top Bottom