Ndugu Mungu ametupa uhuru wa kuchagua tutakacho kama mpenzi wa kusoma biblia ukisoma wa waraka wa yuda mtume anasma Mungu amjalibu mtu bali tunajalibiwa na vitu viku vitatu 1.tamaa zetu mbaya 2.ulimwengu na 3.shetaniHabari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
Ndio lakini kuna limitations nyingi sana za mkanganyiko wa elimu imani na desturiHabari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
elezea kwa upana tupate kuelewa ndugu mshana..karibuNdio lakini kuna limitations nyingi sana za mkanganyiko wa elimu imani na desturi
Nitarejea nikituliaelezea kwa upana tupate kuelewa ndugu mshana..karibu
asante na kazi njemaNitarejea nikitulia
Hapana unakosea bro. Wale wamchukiao ndio watapata adhabu, na ukiendelea kuusoma huo mstari ambao ww umeunukuu nusu, unamalizia hivi..... "nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
Yeah its good one, Free will ni katika kuchagua mema na mabaya ila kwa kuwa mbinguni ni nyumbani kwa baba yeye ndiye anayeamua nani aingie na asiingie. Hilo liko wazi, Yesu alisema hivi, walio wangu na wajua. Tuombe neema ili tuwe miongoni mwa wateule wake, siyo kwa jitihada zetu bali ni kwa neema.Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
Tangu enzi za Adam vizazi vinne bado tu..? Au nn maana ya vizazikatika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
Sio dini....Bali Ni MUNGU usali usisali utamkuta.hivi umemuelewa kweli ?? basiii kama ndivyo ninafuu ya uongozi wa serikali zilizopo duniani kuliko hizo dini ..maana serikali zilizpo huku huwezi kukuta zikimuhukumu mtu kwakosa LA babu ama bibi yake ..nakama patakuwa na nchi zenye desturi hiyo niwazi zitakuwa zimeshapigiwa kelele mno nakuonekana kuwa hazifai ..sasa vipi kuhusu hzi dini zetu leo zionekane kuwa zinafaa wakati zinatoa hukumu kwa mjukuu kwaajili ya kesi ya babu ...hiyo nihaki ??
Tangu enzi za Adam vizazi vinne bado tu..? Au nn maana ya vizazi
Tukisem free will INA maana Sheria za nchi tutaweka pembeni....Free will ni uhuru wa mustakabali wako.. Ni nguvu isiyo na uwezo wa kuidhibiti kimwili.. Ni mtazamo wenye asili ya roho na kila mtu huwa nayo utotoni
Lakini kadiri makuzi yanavyoendelea nguvu hiyo huuliwa taratibu na mila desturi imani na elimu
. mila kuna limitations nyingi kwenye mila unaambiwa hairuhusiwi kufanya hili au lile..
. imani unaambiwa kutokana na imani yetu ukisema hivi unakosea
. elimu zetu ni za upande mmoja huku wengi sana wakinyimwa elimu za kiroho utambuzi na ugunduzi
Kwenye history nakumbuka mwal Wangu aliniambiaNa mimi na shida na kuhesabu vizazi.. Mwenye kujua atufundishe jinsi ya Kuhesabu hivyo vizazi
Unafuata Sheria za nchi?Free will inawezakana tena pasipo upinzani wowote inategemea na ukuaji wa mwanadamu katka ukuaji wake....
Kinachomaliza nguvu hii ya maauzi utakayo ni IMANI hasa hizi za dini na makabila,ila kuu zaidi ili la huu uongo wa dini unamaliza sana hii kitu FREE WILL..,
mtu anaamini kuwa hana makamilifu hashituki analifaam jema na baya,mtu anaamini ana dhambi ya asili hashituki ni wapi alithibitisha hilo zaidi ya kuletewa hizo hadithi....
Mtu anaamini kuna mungu ambaye ndiye mwenye power zaid ya chochote duniani,hashituki huyo mungu ni nani na ni nini yaani yupoje,anapewa neno la kumridhisha linaitwa UWEPO,tafakari nn maana ya uwepo...ina maana ww bakia tu au simama hapo hapo ila icho kitu kipo endelea kukingoja ama kukiamini....
Mimi kama mimi huu uwezo wa free will ninao na ninatumia katka maisha yangu ya kila siku siwez kupangwa ama kuendeshwa na imani za ajabu ajabu....
Ana maana kizazi chako.hadi cha nne..hakua na maana ya adamu..Tangu enzi za Adam vizazi vinne bado tu..? Au nn maana ya vizazi