Njaa mbaya sana,anavizia cheo kwa kujidhalilisha kiasi hiki.Moja ya maandiko bora kabisa ya mmoja wa ng'ombe waliokatwa mkia! Ulianzisha CCJ ikafa kabla haijaanza, ukaja CHADEMA ukitegemea cheo/ubunge ukapigwa kotekote sasa hivi umerudi kundini lakini umeshakatwa mkia!Pole sana mzee naona unaendelea kuweweseka tuu.
Ling'ombe lisilo na mkiaNinaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.
Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.
Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.
Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.
Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.
Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
asante bwana mpendazoe aka mpendavye........Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.
Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.
Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.
Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.
Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.
Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
nakubaliana na wewe 100% lakini weka pia CDM nao hakuna uzalendo. Ninachoweza kusema kuna baadhi ya vijana wazalendo na wanakwenda tofauti na wenzao kama Bashe wa CCM na Nassari wa CDM waliobaki ni vigumu sana kuwaelewa wanaegemea upande gani. Zamani tulikua na Filikunjombe na Zitto lakini sasa Zitto naye kawa mchumia Tumbo kama wenzake.Neno uzalendo ni wimbo tu ambao ccm imekuwa ikiuimba kwa sauti na matendo tofauti. Hata Ben na Kikwete walipokuwa wanauza madini yetu kwa bei ya kutupwa waliimba uzalendo.
Zimwi baya la nchi hii ni ccm
Mpendazoe à.k.a Mpendavyote una njaa ya tumbo pamoja na akili. Hapa unajaribu kujipendekeza kwa Magufuli ili akupe cheo utibu njaa yako ya tumbo, kwa tamaa uliyo nayo asipokuona kwa miezi kadhaa ijayo tutakusikia umehamia APPT maendeleo. Ndiyo. Wewe si Mpendavyote. Una gundu ndugu yangu, tulia acha UMALAYA wa kisiasa.Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.
Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.
Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.
Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.
Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.
Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
MpendaVYOTE huyu nani ampe cheo ? Anazunguka kama pia kwenye vyama vya siasa kwasabb amejawa na tamaa halafu kichwa maji.Andiko la kiwango cha chini sana ! Hivi Mpendazoe unaumwa nini ?
Ngoja nikuambie , humu humu jf kuna andiko la Tundu Lissu , lisome upate maarifa .
Leo nimejua kwanini wenzio wa kanda ya ziwa wanaula wewe umetelekezwa .
Nilitaka kuanza kusoma piaNilipoona jina lako tu hata sijasoma
Unanikumbusha kauli ya Magufuli Zanzibar kuhusu kutoteua wapinzani kwenye Serikali yake. Pengine katika hili pia, ni mapema sana kuhitimisha kwamba we have a leader who walks the talk. Tuwe na subira kidogo.Mkuu Fred Mpendazoe, naunga mkono hoja ya practicing what you preach
P.
CCM ni genge la ajabu sana. Kwenu ni muhimu kuwafukuza wanachana kwa kusaliti kambi ya urais lakini sio muhimu kuwafukuza wanachama wanao wasaliti watanzania katika usimamizi wa rasilimali zao.Kama wewe mwenyewe hujielewi kamwe huwezi kumuelewa Tundu Lisu alichoandika!
Halafu si lazima wote tumuunge mkono Rais.
Kuwa mwanaccm ni nusu ya uchizi na ndio maana TL anapenda Kuwait's "maccm".
Fred Mpendazoe: Lowassa tusamehe tuliokuhukumu, nikiwamo mimi!Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.
Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.
Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.
Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.
Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.
Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
Mpendazo, ni mtu anyeishi nchi jirani au nyingine asiyefuatilia siasa za Tanzania anayeweza kuamini kuwa wapinzani hawakusema haya ya madini n.k.Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.
Mpendazoe njoo hapa ufute kauli au umeze matapishi yako
KinyongaNinaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.
Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.
Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.
Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.
Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.
Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
Kwa sisi watazamaji, siku nyingi tulishabaini dalili zote za deep rooted neurosis ila sio wengi wanaolijua hili.Unanikumbusha kauli ya Magufuli Zanzibar kuhusu kutoteua wapinzani kwenye Serikali yake. Pengine katika hili pia, ni mapema sana kuhitimisha kwamba we have a leader who walks the talk. Tuwe na subira kidogo.