Je, walikiamini walichokihubiri ?

Je, walikiamini walichokihubiri ?

Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.

Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.

Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.

Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.

Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.

Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.

Badala uwalaani hawa CCM wenzio walioingia mikataba ya kijinga na kulisababishia taifa hasara ya matrilioni, wewe umekomaa na Chadema.

We jamaa unazeeka vibaya!
 
Mbona kama hueleweki mzee, unaongelea lowassa/chadema/and kufanyiwa kazi mawazo ya upinzani.?
 
Jambo lolote likipigiwa kelele na upinzani ukitaka upinzani walikane, serikali ilitekeleze, likitekelezwa tu upinzani wanalikana.. Kikubwa JPM aendeshe kwa mujibu wa ILANI ya CCM.. Na yote yapo wazi katika ilani yetu
Na ikifika 2020 watakuwa hawana hoja
 
Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.

Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.

Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.

Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.

Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.

Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
Mzee mkia umesha anza kuchipua??
 
Je ccm walivyokuwa wanamtukana Lowassa wakati wa kampeni yalikuwa ndio maadili? Vipi wabunge wa ccm ambao wamekuwa wakitukana waziwazi bungeni? Mkamia alitukana, Selukamba, Kibajaji, na wengine wengi. JPM anatumia lugha kali kuwakashfu wapinzani. Mpendadezo anatafuta cheo
 
Watanzania waliowengi hawataki kujua nani kafanya nini! Nani katufikisha hapa. Watanzania wanataka tunatoka je hapa. Wanataka muafaka wa kudumu wa maovu na unyonyaji wa zaidi ya nusu karne, wachache kunufaika na kuacha wengi wakataanika.
Mivutano ya kisiasa hainatija Kwa wananchi waliowengi.
 
Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.

Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.

Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.

Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.

Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.

Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
Mkuu ni vyema ukapumzika tu. Hakuna atakayekucheka kwa kukosa ukuu wa wilaya au cheo kingine chochote. Kwa kawaida na kwa asili, makamanda/wabunge na viongozi wa CHADEMA hujenga hoja kwa kuzitafiti na wanapozitoa hawatarajii kusifiwa au kuhongwa cheo. Hufanya kwa dhamira ya dhati kabisa. Chama chako CCM ndicho kilihonga waandishi kuvumisha uzushi kuwa Olaigwanani EL ni fisadi. Kwa muda mlofanikiwa. Baadaye mkapuuzwa. Kwa mujibu wa Time EL alipata 39% ya kura. Ni kweli kuwa waliompigia hawana akili kwa kuwa wamempigia fisadi?
Kumbuka 2007 mlivyoshupalia Zito Kabwe atolewe Bungeni kwa kudanganya Bunge, aliposema Karamagi aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini amesaini mkataba akiwa hotelini. Ilibainika kuwa wabunge wa CCM walidanganya Bunge na si Zito Kabwe. Shida tunazopata sasa zinatokana na watu wa a in a yako wanaoamini kuwa Vyama vya Upinzani haviwezi kuleta maendeleo isipokuwa CCM. My brother, you are very mistaken and lost. What a pity. Hakuna utakachopata CCM zaidi ya aibu.
 
Mkuu mpendazoe hivi kweli unadiriki kuuliza kma wanaamini walichohubiri???? Hivi wangekuwa hawakiamini wangeendelea kukilalamikia kitu hicho kwa miaka zaidi ya 18 sasa???? Yaani kila hotuba ya KUB kwa wizara ya nishati na madini haikosi kelele juu ya mikataba nyonyaji aaaah we unaona hawaamini????? Wafanyeje uwaamini???

Kipindi wanapitisha muswada mbovu wa gesi na mafuta ni wapinzani pekee ndo walitoka nje huku ccm wakibaki kuupitisha na jana wameumbuka baada ya mwenyekiti wao kuwaambia wakarekebishe walichopitisha maana kina udhaifu ule ule uliolalamikiwa na upinzani sawa hapo nani haishi anachokiamini je ni ccm ama chadema????

2. Bunge la katiba. Kwenye rasimu ya warioba kulikuwa na kipengele kinacholazimu serikali kuleta mikataba bungeni ili iwe wazi kwa mijadala ya kitaifa kabla haijaanza kutumika hawa hawa wapinzani waliopiga kelele kwa miongo miwili kabla ya bunge la katiba walisupport kipengele hili ila hiko chama ulipo walikifuta sasa ni nani hapo ameishi alichohubiri......chadema ama chama chako.

Unanishangaza sana mkuu..... hiko chama chako je kinaamini kilichohubiri kuwa ni cha kizalendo je kimeweza kuishi maneno yake na wakati kimetufikisha hapa??? Na swali langu je miaka yote chadema imepigia kelele masuala haya ya mikataba chama chalo walikuwa wanajibu nini?????

Anyway umeongelea swala la lowasa kinachochekesha wwe ni mmojawao waliomsafisha lowasa kwa kuandika makala kwenye raia mwena isemayo UTUSAMEHE LOWASA..... sasa iweje ulimsafisha na ukaomba akusamehe kwa kumsingiza na ukaandika hoja nzito sana eti leo unakana andiko lako ??? Ssa tukueleweje?? Ukiwa ccm ooh lowasa fisadi chadema ooh lowasa msafi sahvi tena ooh lowasa fisadi ssa 2020 ukirudi tena upinzani utasemaje???

Mkuu mambo mengine ni heri ukae kimya tu lakini kuhoji nani aliamini alichohubiri naona chama chako kina kesi nyingi za kujibu
He is a very stupid man!
 
mzee ukome kutupotezea MUDA,

Sote tunataka haki yetu kama Taifa ipatikane ila michezo wanayofanya CCM kuwa ili jambo ni lao ndio litakalo fanya wengine wajione hariwahusu.

Rais atasaidia sana kama akitumia lugha za mlezi kwa watoto kuwafanya wote wajione wako sawa.

mpinzani gani ataunga mkono hoja ambayo inageuzwa na ccm kuwa mtaji wao kisiasa. lets work together as one.

hakuna ubishi kuwa ccm ndio iliyotufikisha hapa, ila sio issue MWIBA UTOKE ULIPOINGILIA

MAJIBU YAKO JUU YA LOWASA HAYA HAPA SOMA MWENYEWE
Fred Mpendazoe: Lowassa tusamehe tuliokuhukumu, nikiwamo mimi!

Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.

.
 
Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.

Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.

Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.

Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.

Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.

Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.
CCM-CCJ-CHADEMA-CCM....we babu utakufa ukiwaza uteuzi tu. Jifunze kujitegemea...una watoto wanatakiwa wakuelewe msimamo wako ! Yaani CCM walikuwa wabaya, ukaanzisha CCJ...matapeli wenzio kina Mwakyembe na Sitta wakakuacha kwenye mataa..ukawa frustrated. Ukachekecha weeeee..ukaona demokrasia ipo CHADEMA. Ukajiunga, wakakuteua kugombea, ukashindwa. Hapo ndo ukafilisika mazima. Sasa umeona bora ujisalimishe kwa Magu..Good. Swali CHADEMA imepoteza demokrasia lini, na ilikuwaje ukajiunga nao? Na CCM imekua lini mpaka uone kuna demokrasia zaidi sasa? Pole sana mkuu, kuna maisha nje ya siasa!!!
 
19030703_1425040930891066_1828273163697339102_n.jpg
 
Ninaona maandiko mengi yakieleza kwamba hatua nyingi zinazochukuliwa na Serikali ya CCM chini ya uongozi mahiri wa JPM, yalisemwa na Chadema kupitia Tundu Lissu au Mnyika au Mbowe. Hii siyo hoja imara.

Hapa duniani wapo watu ambao wanaweza kusema jambo ukadhani wanasema jambo hilo kwa dhati kumbe wanaamini tofauti kabisa. Mfano Chadema walimsema sana Lowassa kama fisadi kwa zaidi ya miaka 10, lakini hawakuyaamini waliyoyahubiri. Ndiyo maana mwaka 2015 wakampokea Lowassa kuwa mgombea urais. Watanzania wakaihukumu Chadema kwenye uchaguzi Mkuu.

Wabunge wa Chadema wamehubiri sana demokrasia na kufanya maandamano kudai demokrasia pana. Wabunge hao walifunga midomo kuonyesha hisia hizo wakiwa bungeni. Lakini uteuzi wa wagombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki ikadhihirisha kwamba wanachokisema si kile wanachokiamini. Ndani ya Chadema demokrasia ni kwa masilahi mapana ya kikundi cha watu.

Kwahiyo madai ya Chadema na viongozi wa Chadema kudai kwamba yanayotekelezwa kwa sasa wao waliyasema siku nyingi ni hoja isiyo na mashiko.
Jambo lililo mhimu na la msingi ni mwenendo chanya wa viongozi na wanachama wa chama cha siasa kwa jamii. Pili chama cha siasa kinatakiwa kusimamia kinachokiamini. Siyo kuhubiri tu.

Kingine, lugha zinazotumika na baadhi ya viongozi wa Chadema mara nyingi huonyesha upungufu wa maadili na inawafanya watanzania wajiulize, je watu hawa wakipewa madaraka watakuwaje ? Ukosoaji wa Chadema umekuwa wa matusi. Na ukiwa mtukanaji wa Serikali utapewa sifa nyingi sana na hata kuitwa jiniasi- genius. Ni ujinga. Hitler alikuwa genius lakini alikuwa mharibifu pia. Unaweza ukawa genius na unajua sana sheria lakini bila moyo wa uzalendo hautakuwa na faida kwa jamii.

Rais JPM anafanya kazi njema, watanzania tumuunge mkono.

CCJ

Very soon utakabidhiwa Mkoa,
 
Hivi wewe si ulikatwa mkia, unafikiri utateuliwa? Ile m3 uliyohongwa ndiyo mwisho kama hukujipanga imekula kwako.
 
Back
Top Bottom