Tuliwahi kuvamiwa na watu waliolaaniwa, na hatukujua kuwa tumevamiwa. Hawa ni wabaya bora hata mkoloni; angalau mkoloni ana faida kwetu kuliko haoWenzetu wako mbali sana
Sisi bado tunahangaika na matundu ya vyoo na Watoto kukosa madawati 🙌
Kwa kweli tuna safari ndefu sana Mkuu, na bahati mbaya sisi raia wenyewe tumelala Usingizi wa ponoTuliwahi kuvamiwa na watu waliolaaniwa, na hatukujua kuwa tumevamiwa. Hawa ni wabaya bora hata mkoloni; angalau mkoloni ana faida kwetu kuliko hao
Do not despair; solution ya tatizo hili ni hii: hakikisha unambana Mungu aendelee kukulinda uendelee kuwa salama huku ukichapa kazi kwa uhakika halafu mambo mengine yatajipa yenyewe.Kwa kweli tuna safari ndefu sana Mkuu, na bahati mbaya sisi raia wenyewe tumelala Usingizi wa pono