Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,543
- 7,483
Swali:
Kwenye picha hii; Bus hili likuwa kwenye kituo gani na barabara ipi hapa jijini Dar es salaam; ukizingatia kuwa enzi hizo jiji lilikuwa bado halijapanuka kama ilivyo sasa?
Swali:
Unaweza ukawatumia WATU wale wale waliosababisha matatizo kwa kuwabadilisha MINDSET zao; aidha kwa hiari (kubadilika midset) yao au kwa lazima