KaselengeJr
Member
- Jul 6, 2016
- 22
- 9
Hivi chato ni wilaya ama jimbo lina manispa yake
umeulizwa na nani?
Vipi kuhusu kuapisha wateule?Tusifananishe ikulu ndogo na ikulu kama ya Dar au chamwino. Huko kwingne ni kulala na kusepa tu
Sent using Jamii Forums mobile app