Du hii kali,inahitaji utafiti mkubwa,vipi kwa binadamu ndg yangu?Kwamba kuku-jike anapofukuzwa na jogoo jeusi tii au jogoo lenye rangi mbaya hukimbia sana kuliko pale anapofukuzwa na jogoo jeupe au jogoo lenye rangi nzuri!
Sio mzungu tu. Hata akiwa muafrika, ila awe handsome.Ina maana kwamba, mwanamke wa kiafric akitongozwa na mzungu hukubari haraka haraka eeh!!!!!!
Sio mzungu tu. Hata akiwa muafrika, ila awe handsome.
Kwamba kuku-jike anapofukuzwa na jogoo jeusi tii au jogoo lenye rangi mbaya hukimbia sana kuliko pale anapofukuzwa na jogoo jeupe au jogoo lenye rangi nzuri!
Rose Hata wewe muongo. Umeingiaje kwenye jukwaa la waongo?Mhh jukwaa la uwongo na kudanganyana...
Rose Hata wewe muongo. Umeingiaje kwenye jukwaa la waongo?
du.. huko mbali sana...Ina maana kwamba, mwanamke wa kiafric akitongozwa na mzungu hukubari haraka haraka eeh!!!!!!
na bata je?
Umeona ee,kwanza saikolojia ya bata ni kwamba katika mishex2 zake huwa hageuki nyuma,yeye ni mbele kwa mbele,huwa hana time ya kuangalia nyuma kutathmini aina ya dume linalomfuata na ndo maana sometimes hata jogoo la kuku humpanda bata jike bila ya yeye kujua.Kwa utafiti zaidi nenda kota za polisi.Hili likitu halichagui..au sijui ni kwa sababu limebarikiwa sana huko nyuma haliwezi kukimbia sana!!!