Je, wajua sifa za nchi iliyochanganyikiwa?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
52,003
JE wajua sifa za nchi iliyochanganyikiwa

Sifa mojawapo ni hizi zifuatazo

1.Ukiingia msikitini unakuta waislamu wameshika biblia wanaichambua
2.Ukiingia Kanisani unakuta wakristo wameshika kuruani wanaichambua
3.Ukiingia kanisani au msikitini unakuta viongozi wa Dini wanahubiri na kuchambua siasa mwanzo hadi mwisho wa ibada
4.Ukienda asubuhi shambani unamkuta mkulima anasikiliza kipindi cha leo katika bunge kwenye ka radio anakotembea nako badala ya kulima
5.Ukienda ofisini asubuhi unakuta wafanyakazi wanaangalia kipindi kwenye TV cha leo katika bunge badala ya kufanya kazi
6.Ukienda eneo la biashara unakuta muuzaji kakodolea TV anasikiliza kipindi cha leo katika bunge badala ya kuhudumia wateja
7.Ukienda Majumbani mchana badala ya mama mwenye nyumba kutulia kupika anasikiliza kipindi cha leo katika bunge hadi anaunguza chakula jikoni na kulambwa makofi na kuishia kupewa talaka
 
Ulicho andika ni kinyume chake!ukiona hivyo ujue watu wamejitambua na wanafuatilia siasa ya nchi yao vizuri...au wewe ulitaka waache ili muje muwadanganye?ahahaha,ccm hawajawahi penda watu wanaojitambua!
 
Kwa nchi hii "kila kitu ni SIASA..siasa siasa hata usingizini tunaota Siasa" !! Hapa kazi tu nayo ni Siasa !!
 
Back
Top Bottom