mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Hata mm ndio nilikuwa najua hivyo.Lakini pia "the" huwekwa ktk nomino/jina ambalo Mimi mtamkaji na wewe msikilizaji tulifahamu au tunafahamu vizuri hicho kitu au jina lililotamkwa.Hii "a" Ni pale ambapo jina au nomino sio maalum au daaah...sijui nisemeje hapa ,kufundisha nako kazi sana Yan.
Yaani kitu kinapotajwa kwa mara ya pili tunatumia The,lkn kinapotajwa kwa mara ya kwanza tunatumia a.
Sasa huyu mtoa mada ndio kanivuruga kabisa na somo lake la leo