Je, wajua kwamba Adam alimuoa binti yake wa kumzaa mwenyewe?

Nadhani binti akichukua mwili sura ya mama ,kuna umri akifika anakua kama mama yake alipokua na uzuri ule ambao mzee alimkuta nao mama ambaye kazeeka sasa(ila wanawake wanazeeka haraka,30 tu haeleweki) .
Ndio maana madingi akikaona kakijana kanakuja kuja home, katajuta.
 
Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume akawaita jina lao Adam. Baada ya Adam wa kike kutokea mwenzake akamuita Eva, wazo eti Adamu alioa binti yake ni uongo mtupu
 
Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume akawaita jina lao Adam. Baada ya Adam wa kike kutokea mwenzake akamuita Eva, wazo eti Adamu alioa binti yake ni uongo mtupu
Hii Kali Kama ya Arusha
 
Huu Uzi
mnamshambulia mtoa mada personally kana kwamba anasapoti na anayoyaongea hayapo Kwenye jamii

Mtoa mada keshatoa tahadhari,
Tuwachunge Sana mabinti na vijana wetu tusije angukia ktk dhambi ya "incest".

YAAN,
Uwalaze wasichana na wavulana chumba kimoja
afu eti utegemee maandiko uliyowafundisha yawazuie vikojoleo vyao kugusana
 
Umeongea vitu vingi kwa pamoja. Ni kweli alifanya hivyo maana aliishi muda mrefu sana. Hilo liliwezesha uzao wake kuwa mwingi na kuweza kuchagua wake mingoni mwa uzao wake.
 
Back
Top Bottom