Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

Amri za Bwana yule ambaye kwa tafsiri yangu ni Yesu ni ngumu sana kwa sababu ukitaka kuzitekeleza lazima akuwezeshe mwenyewe kuzifuata.

Kama unamaanisha bwana yule mwingine simo
 
Kwa maana hiyo ile amri ya "ukipigwa shavu la kushoto ugeuze na la kulia" tumepigwa?? Sio poa
 
Bora nibaki naelea aisee.
 
Najua Haters mtapinga tu hizo Amri za Shetani lakini Mwamba kapiga mle mle!! Mtapinga kwa ubishi tu, na wivu dhidi ya nondo za maana kwavile tumeaminishwa Mwamba sio kabisa, ingawaje kiuhaliisa, tunampigia shangwe... tena za kibingwa!
Mwamba umepiga mle mle aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…