Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
They make sense somehow 🤔🙄
DaahAt least yeye hana wivu, Mungu ana lakujifunza hapo
Amri za Bwana yule ambaye kwa tafsiri yangu ni Yesu ni ngumu sana kwa sababu ukitaka kuzitekeleza lazima akuwezeshe mwenyewe kuzifuata.Najua Haters mtapinga tu hizo Amri za Shetani lakini Mwamba kapiga mle mle!! Mtapinga kwa ubishi tu, na wivu dhidi ya nondo za maana kwavile tumeaminishwa Mwamba sio kabisa, ingawaje kiuhaliisa, tunampigia shangwe... tena za kibingwa!
Ukweli usemwe, Mwamba hakukurupuka kama Bwana Yuleee!! Amri zake zimesimama na practical kuzidi hata zile alizotuletea Bwana Yule ambazo ni Impractical... hazitekelezeki maabara wala kwenye karakana!
Just imagine! Hakuna aliyekutaka ushauri wala kukuuliza lakini from nowhere"...oh, najua uukitaka kutoboa usawa huu, wekeza kwenye kilimo Chifu! Maparachichi yanalipa big time! Amini usiamini Chifu, parachichi ni Green Gold"
Pumbaaavu! Kwani we mwenyewe hutaki kutoboa? Ina maana huzitaki hizo Green Gold?! Kwamba Njombe wanakochimbua hizo green gold hukujui, ama?!
Nenda kalime mwenyewe hayo maparachchi, kenge wewe... kwani nimekuomba ushauri? Unakuta mwingine hujamuuliza wala nini halafu eti anakushauri upande miti gani sijui ambayo kuivuna ni sawa na kifungo cha Sabaya! Hivi zimetimia kweli wewe? Yaani kosa la babako mwenyewe aliyeshindwa kukulipia ada ya kusoma kozi uitakayo, na matokeo yake ukaishia kusomea Misitu SUA, halafu umeona mi ndo wa kunidoshea jumba bovu? Unajifanya kutoa ushauri bila kuombwa ili upate sababu ya kupiga mizinga, sio?
Tena Wabongo kwa kupenda kutoa ushauri.... dah!!
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni! Mwamba anajua! Unanipigia stori za matatizo yako kwani yananihusu nini wakati mwenyewe nina matatizo kibao?! Nenda kasimulie kanisani au msikitini huko, kama nako hawajakuona tapeli tu!
Kwa hiyi asipokuwezesha huwezi mwenyewe kujiongozaAmri za Bwana yule ambaye kwa tafsiri yangu ni Yesu ni ngumu sana kwa sababu ukitaka kuzitekeleza lazima akuwezeshe mwenyewe kuzifuata.
Kama unamaanisha bwana yule mwingine simo
Kwa maana hiyo ile amri ya "ukipigwa shavu la kushoto ugeuze na la kulia" tumepigwa?? Sio poaNajua Haters mtapinga tu hizo Amri za Shetani lakini Mwamba kapiga mle mle!! Mtapinga kwa ubishi tu, na wivu dhidi ya nondo za maana kwavile tumeaminishwa Mwamba sio kabisa, ingawaje kiuhaliisa, tunampigia shangwe... tena za kibingwa!
Ukweli usemwe, Mwamba hakukurupuka kama Bwana Yuleee!! Amri zake zimesimama na practical kuzidi hata zile alizotuletea Bwana Yule ambazo ni Impractical... hazitekelezeki maabara wala kwenye karakana!
Just imagine! Hakuna aliyekutaka ushauri wala kukuuliza lakini from nowhere"...oh, najua uukitaka kutoboa usawa huu, wekeza kwenye kilimo Chifu! Maparachichi yanalipa big time! Amini usiamini Chifu, parachichi ni Green Gold"
Pumbaaavu! Kwani we mwenyewe hutaki kutoboa? Ina maana huzitaki hizo Green Gold?! Kwamba Njombe wanakochimbua hizo green gold hukujui, ama?!
Nenda kalime mwenyewe hayo maparachchi, kenge wewe... kwani nimekuomba ushauri? Unakuta mwingine hujamuuliza wala nini halafu eti anakushauri upande miti gani sijui ambayo kuivuna ni sawa na kifungo cha Sabaya! Hivi zimetimia kweli wewe? Yaani kosa la babako mwenyewe aliyeshindwa kukulipia ada ya kusoma kozi uitakayo, na matokeo yake ukaishia kusomea Misitu SUA, halafu umeona mi ndo wa kunidoshea jumba bovu? Unajifanya kutoa ushauri bila kuombwa ili upate sababu ya kupiga mizinga, sio?
Tena Wabongo kwa kupenda kutoa ushauri.... dah!!
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni! Mwamba anajua! Unanipigia stori za matatizo yako kwani yananihusu nini wakati mwenyewe nina matatizo kibao?! Nenda kasimulie kanisani au msikitini huko, kama nako hawajakuona tapeli tu!
namba 4,ukiimudu vyema hakuna nyingine yeyote kati ya hizo zilibaki, maana hutakua ukifuata amri za shetani bali wewe mwenyewe ushakuwa shetani pia.Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetani.
namba 4,ukiimudu vyema hakuna nyingine yeyote kati ya hizo zilizobaki itakayokushinda maana hutakua ukifuata amri za shetani bali wewe mwenyewe ushakuwa shetani pia.Zisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetani.
Kwa hiyo unauthibitisho kua Mungu yupo?Hizo amri ni batili kwasababu uwepo wa shetani ni myth!. hakuna uthibitisho kua yupo
TumekwishaZisome hapa.. Kama unajua kiingereza lakini.
Uchaguzi ni wako ufuate zile 10 za Mungu au hizi 11 za shetani.
HahahahahaAt least yeye hana wivu, Mungu ana lakujifunza hapo
Bora nibaki naelea aisee.Amri za mungu ukizivunja unatenda dhambi, ukivunja za shetani unapata nini?. Au siku ya mwisho ukishidwa kuingia mbinguni ukitupwa motoni kabla ujaenda kuchomeka nae shetani anaangalia kwenye kitabu chake kama ulivunja amri zaka ukiwa na dhambi kwanye kitabu cha mungu na shetani hauendi mbinguni wala motoni unabaki unaelea.
Au motoni kuna range ya moto ukuvunja amri za mungu na za shetani moto wako ni grade A (au moto devision 1)
Mwamba umepiga mle mle aiseeNajua Haters mtapinga tu hizo Amri za Shetani lakini Mwamba kapiga mle mle!! Mtapinga kwa ubishi tu, na wivu dhidi ya nondo za maana kwavile tumeaminishwa Mwamba sio kabisa, ingawaje kiuhaliisa, tunampigia shangwe... tena za kibingwa!
Mbona inawezekana sema haujakutana tu na rasi simba.Hivi nyie mna bongo zipi mimi na ubongo wangu huu nijue kingereza kwa wiki mbili tu???