Je, wajua kuwa milionea wa kwanza wa kike Marekani alikuwa ni mtu mweusi?

Adil_101

Senior Member
Jul 26, 2022
110
339
Its TBT day lets motivate...

Naam!

Alikuwa ni mtu mweusi, alikuwa akifahamika kwa jina la Madam CJ Walker (1867-1919) alikuwa ni milionea wa kwanza wa kike kule US. She was a self-made milionea.

Na pia, dola milioni 1 kipindi hiko ni sawa na dola milioni 27 katika zama hizi, lakini, hiko sio kitu cha kushangaza, ngoja tuongelee context ya hiki kitu.

Madam CJ Walker alizaliwa mnamo mwaka 1867, na ndugu zake (4) wote walizaliwa kabla ya the Emanicipation Proclamation na wote walikuwa watumwa.

Mama yake alifariki akiwa na miaka mitano, baba yake alifariki akiwa na miaka 6, hali hiyo ilimpelekea kuwa yatima katika umri wa miaka 7 na kwa wakati huo alikuwa akiishi katika kitovu cha jiji la Conferedecy (Mississippi) kama binti mdogo aliye na umri kati ya miaka 5-10 baada ya Civil War kutokea kule US.

Basi, bibie huyu alifunga ndoa akiwa na umri wa miaka 14, (such a sad tale) na mumewe alifariki baada ya miaka yao mitano ya ndoa. Sasa mambo ya kaanza kubadilika na ya kawa hivi...

Katika umri wa miaka 20s mpaka 30s bibie huyu alijihusisha na biashara ya kuuza haircare products za mjasiriamali mwengine wa kike (black also) na, alipotimiza umri wa miaka 37 aliamua kuanzisha hair product line yake mwenyewe.

Alijenga biashara ile kiasi cha kuitwa a million dollar empire, huku akiwa ameajiri sales agents wapatao 20000.

In addition, aliweza kuwaonesha wanawake wengine (blacks) jinsi ya kujibajeti, jinsi ya kuanzisha biashara na akawashawishi wawe financially independent.

Kitu kimoja cha kushangaza ni kuwa, alifariki mwaka 1919 na kwa kipindi hiko wanawake walinyimwa haki ya kupiga kura mpaka ilipofika mwaka 1920. Fikiria hilo.

Madam CJ Walker alikumbana na changamoto kubwa na zilizohatarisha maisha yake lakini hakukata tamaa, alipambana juu chini kwa miaka mingi ili kujenga million-dollar empire yake, huku akiendelea kuwahamasisha na kuwaelimisha mamilioni ya watu.

What an incredible story of faith, hard work & impact.

I hope umeenjoy kusoma thread hii, sina mengi ya kusema zaidi.

See you wen u see me,
Adil,
Sayonara.

IMG_20230329_225733.jpg
IMG_20230329_225757.jpg
 
View attachment 2570802View attachment 2570803
Ya kweli Haya,.?
 
Sifa za kijinga au mi ndiyo sielewi?

MFANO:

Waziri Mkuu anatangazwa ITV Jitu linakurupuka kusema "Tulisoma naye tena yeye ndiye alikuwa ananibebea madaftari"

Inakusadiaje kukukwamua kiuchumi?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom