Mkuu Pascal Mayalla karibu tena na hongera kwa kutukumbusha machungu.
Kwa wafuatiliaji wa taarifa za nchi za wenzetu watakubaliana na mimi kwamba kuna vyombo vya habari ambavyo kazi zao ni pamoja na kureport progress za maagizo na ahadi za viongozi wa serikali.
Sisi hapa kwetu hatuna hii kitu, waandishi wakishakaa press mkuu yeyote akatoa agizo, hawarudi tena kuandika/kutangaza juu ya utekelezaji wa agizo lile, wala hawatoi mrejesho wa kipi au hatua zipi kiongozi amechukua kwa agizo lake kutotekelezwa, na hii imesababisha kila kiongozi anatoa tamko tu.
Tuna watu kama kina Makonda (RC); show rooms Kigamboni, Kukagua Guests saa za kazi, shisha, madawa, ombaomba Dar, walotelekeza watoto, kupima tezi dume, kukusanya vijana wasio na ajira etc
Kigwangala; Umiliki Loliondo, Ardhi Monduli, MRI Mbeya (akiwa naibu Afya), majangiri, etc
Kangi; Huyu sitaandika chochote.
Jafo, kuna waziri wa kufufua Viwanda, na wengine wote, tulitakiwa tuwe na chombo cha kufuatilia maagizo yao na wapi iliishia au inaendeleaje.
Kazi unayoifanya Pasco ilitakiwa ifanywe na vyombo vikubwa vya habari, na ingesaidia sana kuzuia matamko ya kimuhemko kwa sababu mtoaji angekaa akiwaza siku ya kujibu progress ataumbuka.
Utasubiri sana Mkuu!!Siku tukishindwa kulipwa naamini tutaitisha tbc hewani tuwatangazie wadanganyika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa miaka karibu 20 hamkushituka?? Na walioidhinisha wizi huu kwa upande wetu wapo na wanalindwa na katiba.Ishu si kulipwa TU...Ishu ni kwamba atleast tumeonyesha kuthamini RASILIMALI ZETU....tatzo sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana Tunakaa kusubiri kuona mambo yakiharibika tu tupate sehemu ya kusemea PUMBA zetu LAKINI hatutaki kabsa kupongeza hatua zilizo chukuliwa kuzuia KUIBIWA RASILIMALI ZETU na hawa mabwana wakubwa....Tumpongeze JPM kwenye hili jamani
Hata kama BARRICK anaenda kuuza hisa zake kwa hao WACHINA hii ni kwa sababu tu MIANYA YAO YA KIJINGA KUTUPIGA SISI WATANZANIA IMESHTUKIWA angethubutu vipi kuuza HISA ZAKE kama tusingemshtukia????Hata huyo mchina atakaekuja LAZIMA tuanze nae VIZURI
Na Noah hupati kwahiyo wahi tu hospital kabla makubwa hayajakupataNimesoma hii habari nilipomaliza tu, mapigo ya moyo yameenda faster sana, nahisi napata bp
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubir noah yangu hivyo vingne sitak kusikia
a e i o u
Eti hao ndio wanaoimbiwa na mapambio kuwa ni wazalendo.umesahau kuwa wabnuge wa upinzani waliposema sheria ni mbovu walizomewa na wakafukuzwa bungeni na ccm wakapitisha sheria ambazo leo mnaziona ni mbovu JPM akiwa mmoja wao
Mkuu ripoti ya makinikia na Tanzanite ilitaja wanasiasa zaidi ya 20 ambao kwa namna moja ama nyingine wametuhujumu hadi kutufikisha hapa tulipo hasara ya zaidi Trillion 200+ je hatua gani magufuli kachukua dhidi ya hao mafisadi?? Ina maana hao mafisadi wana nguvu kiasi gani hadi waogopeke??Ishu si kulipwa TU...Ishu ni kwamba atleast tumeonyesha kuthamini RASILIMALI ZETU....tatzo sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana Tunakaa kusubiri kuona mambo yakiharibika tu tupate sehemu ya kusemea PUMBA zetu LAKINI hatutaki kabsa kupongeza hatua zilizo chukuliwa kuzuia KUIBIWA RASILIMALI ZETU na hawa mabwana wakubwa....Tumpongeze JPM kwenye hili jamani
Hata kama BARRICK anaenda kuuza hisa zake kwa hao WACHINA hii ni kwa sababu tu MIANYA YAO YA KIJINGA KUTUPIGA SISI WATANZANIA IMESHTUKIWA angethubutu vipi kuuza HISA ZAKE kama tusingemshtukia????Hata huyo mchina atakaekuja LAZIMA tuanze nae VIZURI
Sasa unafikiri baada ya kuona mtu anapigwa ngumi za uso kwanini wasizime tv? Walipokuwa wanatupa update kwa mbwembwe walikuwa hawajui kuwa tuna maadui?Kwani waziri si alisema kuwa hawataweka bayana malipo ili kuepusha mengi? So whether will be paid or not, only a few people in the govt will know
Ishu si kulipwa TU...Ishu ni kwamba atleast tumeonyesha kuthamini RASILIMALI ZETU....tatzo sisi Watanzania ni watu wa ajabu sana Tunakaa kusubiri kuona mambo yakiharibika tu tupate sehemu ya kusemea PUMBA zetu LAKINI hatutaki kabsa kupongeza hatua zilizo chukuliwa kuzuia KUIBIWA RASILIMALI ZETU na hawa mabwana wakubwa....Tumpongeze JPM kwenye hili jamani
Hata kama BARRICK anaenda kuuza hisa zake kwa hao WACHINA hii ni kwa sababu tu MIANYA YAO YA KIJINGA KUTUPIGA SISI WATANZANIA IMESHTUKIWA angethubutu vipi kuuza HISA ZAKE kama tusingemshtukia????Hata huyo mchina atakaekuja LAZIMA tuanze nae VIZURI
Eti, sasa hivi tuongelee tu line dream na dear bomba.Kwanini unafukua makaburi , umelenga kumdhalilisha yeyote ? hili jambo tulishalisahau na tunaendelea na kuunga mkono juhudi .