Je, Wajua kuwa Mambo hujirudia.!!??

Habar zenu wadau wa JF.

Je, wafaham kuwa matendo ama matukio tunayo fanya kunakipindi huwa yanajirudia. Iwe kimatendo ama kimawazo huo iko hivyo. Mfano unaweza fanya jambo ukaja kukumbuka kuwa jambo hilo inalo lifanya kuna kipindi uliwahi kulifanya. Usibishe fanya uchukunguz utagundua mengi.
Hii siyo matendo yanajirudia,ni nguvu ya u ungu iliyowekwa ndani yako ndo iliwahi kukwambia kua siku fulani na saa fulani utakua sehemu fulani ukifanya jambo hilo unaloona ni kama limejirudia.mihanjo mingi tu ya maisha ndo hupoteza nguvu hizo na kukuweka kwenye sintofahamu ktk maisha yako ya kila siku.namaanisha matendo unayoyakumbuka hasa ukiwa mtoto mdogo wa miaka 7 kipindi ambacho nguvu ya ki MUNGU ilikua inajichochea bila kipingamizi cha dhambi au misuko suko ya maisha...sijui kama nimeeleweka,kama hujanielewa jaribu kumuita Mshana jr au Rakims
 
Habar zenu wadau wa JF.

Je, wafaham kuwa matendo ama matukio tunayo fanya kunakipindi huwa yanajirudia. Iwe kimatendo ama kimawazo huo iko hivyo. Mfano unaweza fanya jambo ukaja kukumbuka kuwa jambo hilo inalo lifanya kuna kipindi uliwahi kulifanya. Usibishe fanya uchukunguz utagundua mengi.
Nilisha wahi kulihisi hili kitambo sana. Ni kweli hii ipo
 
Habar zenu wadau wa JF.

Je, wafaham kuwa matendo ama matukio tunayo fanya kunakipindi huwa yanajirudia. Iwe kimatendo ama kimawazo huo iko hivyo. Mfano unaweza fanya jambo ukaja kukumbuka kuwa jambo hilo inalo lifanya kuna kipindi uliwahi kulifanya. Usibishe fanya uchukunguz utagundua mengi.
True
 
Inaitwa De ja Vu

Hakuna mapya duniani...hata utakayoyafanya ilipaswa uyafanye.

De ja vu inawatokea zaidi wanyama

Binadamu anapokuwa katika hali ya kukata roho (state of dearth) hali hii inamtokea sana na kwa muda mfupi ila hataweza kufanya chochote zaidi ya kukumbuka aliyoyafanya.

Mwenyezi Mungu ni mwaminifu sana katika hili.
 
hata mimi naingiaga clas everyday, huwa inajirudia rudia kuingia clas mpaka mwisho wa semister
 
Back
Top Bottom