Je, wajua kuwa hakuna kifo?

Je, wajua kuwa hakuna kifo?

Uliza chochote kuhusu kufa, kuzaliwa, na au kupotea.

Je, wajua mtu anaweza kufa na kuzaliwa tena?

Je, wajua kuwa watu wakifa hawaendi popote sio mbiguni wala motoni?

Je, wajua hakuna mungu?

Je, wajua hakuna hukumu baada ya kifo?

Uliza maswali yeyote kuhusu uzima, kuishi na maisha baada ya kifo.

Na utajibiwa hapa.
ila kuna uzushi kama huu,....
 
Kweli ule utafiti uliotolewa hivi punde kati ya watanzania 4 mmoja ni mwehu(mwendawazimu) unaanza kudhihiri ukweli wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom