Kuhusu mungu upo sahihi kabisa, hakuna mungu bali kuna Mungu muumbaji wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.Uliza chochote kuhusu kufa, kuzaliwa, na au kupotea.
Je, wajua mtu anaweza kufa na kuzaliwa tena?
Je, wajua kuwa watu wakifa hawaendi popote sio mbiguni wala motoni?
Je, wajua hakuna mungu?
Je, wajua hakuna hukumu baada ya kifo?
Uliza maswali yeyote kuhusu uzima, kuishi na maisha baada ya kifo.
Na utajibiwa hapa.
Cha Arusha au Mbeya
Umenikumbusha zaburi 1:1MUNGU AMENIONYA NISIWE KARIBU NA WALETA MZAHA
Heri mwana jf yule asikwenda katika shauri LA wasio haki. Wala hakusimama katika njia ya wapotoshaji kama kina kiranga na mtoa Mada. Wala hakushiriki jukwaani Kwa Wenye mizahaUmenikumbusha zaburi 1:1