Dk sirleh
Member
- Oct 27, 2016
- 33
- 9
Ahh cha arusha mi naonaCha Arusha au Mbeya
Ahh cha arusha mi naonaCha Arusha au Mbeya
2. (a) Kama watu wakifa hawaendi popote je huwa wanabaki wapi?
(b) Kitendo cha kuwazika waliokufa huwa kina maana gani? Kwanini huwa wanazikwa ?
(c) Je umewahi kufa? kama siyo ulijuaje kuwa huwa hawaendi popote? Kama ndiyo je ulizikwa? Kama ndiyo kwanini ulikubali kuzikwa ? Kama siyo una uhusiano gani na wafu [emoji117] [emoji65] [emoji6]
3. Loading
ATA MIMI NILIHISI KAMA WEWE ila kama tutakuwa tumekosea nadhani atakuwa ni mmoja kati ya watu wale wanneCha Arusha au Mbeya
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...Uliza chochote kuhusu kufa, kuzaliwa, na au kupotea.
Je, wajua mtu anaweza kufa na kuzaliwa tena?
Je, wajua kuwa watu wakifa hawaendi popote sio mbiguni wala motoni?
Je, wajua hakuna mungu?
Je, wajua hakuna hukumu baada ya kifo?
Uliza maswali yeyote kuhusu uzima, kuishi na maisha baada ya kifo.
Na utajibiwa hapa.
Wewe ni MUONGO!MUNGU AMENIONYA NISIWE KARIBU NA WALETA MZAHA
Kulingana na uelewa wako; nakubaliana na wewe kuwa; hakuna kifo, ila na wewe ni lazima ukubaliane na mimi kwamba; kuzaliwa hakupo duniani.Uliza chochote kuhusu kufa, kuzaliwa, na au kupotea.
Je, wajua mtu anaweza kufa na kuzaliwa tena?
Je, wajua kuwa watu wakifa hawaendi popote sio mbiguni wala motoni?
Je, wajua hakuna mungu?
Je, wajua hakuna hukumu baada ya kifo?
Uliza maswali yeyote kuhusu uzima, kuishi na maisha baada ya kifo.
Na utajibiwa hapa.
Kwenye maandiko Kuna Habari zake huyu MUNGU mkuu mwenye mamlakaWewe ni MUONGO!
ulionana wapi nae?
🙄🙄🙄🙄🙄Huwa shetani anawapitia watu lakini wewe mleta sread naona umempitia shetani
Umaarufu.......wanajitahidi kufahamika............Ili jukwaa watu wanafosi sana thread zao.
Uko wapi bro,kama sikosei upo Mirembe hospitali ya vichaa,usijali utapona tu na utarudi uraiani kama mimi,nilipokuwa mwehu nikapelekwa hapo Mirembe Dodoma,huwezi kuamini eti mimi nilikuwa najiona Bill Clinton yule rais wa Marekani,nikawa naongea na kutoa amri kama yeye,nilipona na leo hii mimi ni yule yule Karanja muuza karanga.Uliza chochote kuhusu kufa, kuzaliwa, na au kupotea.
Je, wajua mtu anaweza kufa na kuzaliwa tena?
Je, wajua kuwa watu wakifa hawaendi popote sio mbiguni wala motoni?
Je, wajua hakuna mungu?
Je, wajua hakuna hukumu baada ya kifo?
Uliza maswali yeyote kuhusu uzima, kuishi na maisha baada ya kifo.
Na utajibiwa hapa.
Basi ngoja niedit lohhh... [emoji45] [emoji45] [emoji45]🙄🙄🙄🙄🙄