Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,117
Je wajua Jina la Mozambique limetokea wapi??? Limetokana na mtawala na mfanyabiashara wa kiarabu kutoka Oman ambaye jina lake lilikuwa Musa Bin Bique na eneo aliokuwa anatawala lilikuwa pwani mwa kazkazini kama Maeneno ya Tanzania na Kenya yaliyokuwa chini ya Sultanane ya Oman. Kwaiyo Musa Bin Bique= Mozambique🤣🤣🤣