king jafu
Senior Member
- Sep 10, 2019
- 148
- 116
Hawajalipwa na bado wanaenda kazini inamaana wanafanya kazi ya bure na maboss wanaolipwa kila mwezi wana take advantage maana wanajua mtu ukidai haki yako Leo kesho hunakazi.Note mpaka sasa wafanyakazi wa hiyo kampuni hawajalipwa mishahara yao huu ni mwezi wa nne
mpuuzi mpuuzi tu
Upuuuzi upuuuzi Mtupuu.
Sent using Jamii Forums mobile app