Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

Paskali
Mwanafunzi wa Shivji ambaye ni Ki Shvji Kidogo
Mwaka wa Kwanza alifundishwa somo la LW. 101 na Tulia Akson (as she was then)
Supervisor wangu wa LL.B Dissertation ni Dr. Palamagamba Kabudi (as he was then)
Dean Wangu pale FoL wakati huo ni Dr. Ibrahim Juma (as he was then)
Just to name but few.
Hawa wote uliowataja kasoro Prof. Shivji sasa hivi wanatumika kisiasa kwa maslahi ya CCM pekee. Wameshindwa hata kusimamia mchakato upatikanaji wa rasimu ya katiba bora pendekezwa.Utalaam wa wa sheria unasaidia zaidi matumbo yao.
 
Tuombe mungu tuone mengi
FB_IMG_15544493898389378.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bunge halijakataa kufanya kazi na ofisi ya CAG
Bunge linaiheshimu saana hio taasisi ya kitaifa
Isipokuwa bunge limepitisha muswada wa kukataa kufanya kazi na Pr Asaad kama yeye mwenyewe
CAG ni Prof. Musa Assad. Na ile report iliyowasilishwa kwa Rais inaitwa report ya CAG Prof. Musa Assad. Hakuma mwingine wa kuisaini zaidi ya Prof. Assad ambaye ndiye CAG kwa sasa.

Ndugui alichotamka ni upuuzi mtupu maana hakuna uwezekano wa kupata report ya CAG kwa sasa ambayo siyo ya CAG Prof. MUSA Assad iloyosainiwa na CAG mwenyewe ambaye ni Prof. MUSSA ASSAD.
 
Pascal Mayalla Ahsante kwa elimu ya katiba hasa kwa sisi ambao tuligusa tuu "Merchantile Law" kama sehemu ya somo la biashara. Swali kama ripoti imewasilishwa kwa Mh Raisi kimya kimya na wewe na mimi tulijua baada ya CAG kutoa PRESS RELEASE sasa CAG atajuaje kama Mh Raisi amewasilisha Bungeni au La kama uwasilishwaji wa kimya kimya utaendelea?
Swali zuri. Swali jingine: Je, Rais anapoiwasilisha report ya CAG Bungeni, kuna maelekezo/kanuni au sheria inayotaka uwasilishaji huo uwe wa wazi au wakati wa uwasilishaji CAG awepo au apewe taarifa?
 
CAG ni Prof. Musa Assad. Na ile report iliyowasilishwa kwa Rais inaitwa report ya CAG Prof. Musa Assad. Hakuma mwingine wa kuisaini zaidi ya Prof. Assad ambaye ndiye CAG kwa sasa.

Ndugui alichotamka ni upuuzi mtupu maana hakuna uwezekano wa kupata report ya CAG kwa sasa ambayo siyo ya CAG Prof. MUSA Assad iloyosainiwa na CAG mwenyewe ambaye ni Prof. MUSSA ASSAD.
iko na shida sana ile mutu ya fimbo, option B yake imekuwa wrong always...!
 
mnaokosoa huu uzi sina hakika kama mmesoma wote na kuelewa vema, ndugu mayalla ameeleza bayana kutumia katiba jinsi ambavyo bunge linaweza kuvunjwa hasa ktk sakata la CAG, wote mnaopinga naona mnatoka povu tu bila kuweka bayana ni kwanamna gani bunge halitavunjwa ili cc tusiofahamu chochote kuhusu sheria tuelewe bivu na mbichi, na kwamaana hiyo basi napenda kukushukuru sana ndugu pascal mayalla kwa kunifanya nielewe nilichokua sikielewi mwanzo, thanks a lot brother...you have made me understand
 
Nasikia Spika ni mwanasheria, Naibu Spika naye na mwanasheria mbobevu, Katibu wa Bunge hali kadhalika na wasaidizi wake pia ni wanasheria. Licha ya timu yote hiyo bado Bunge halijitambui, limebaki kuwa dhaifu kiutendaji na kiuweledi.

Only in this land.
 
mnaokosoa huu uzi sina hakika kama mmesoma wote na kuelewa vema, ndugu mayalla ameeleza bayana kutumia katiba jinsi ambavyo bunge linaweza kuvunjwa hasa ktk sakata la CAG, wote mnaopinga naona mnatoka povu tu bila kuweka bayana ni kwanamna gani bunge halitavunjwa ili cc tusiofahamu chochote kuhusu sheria tuelewe bivu na mbichi, na kwamaana hiyo basi napenda kukushukuru sana ndugu pascal mayalla kwa kunifanya nielewe nilichokua sikielewi mwanzo, thanks a lot brother...you have made me understand
 
Mimi nitazungumzia point yako namba 2, LW 101 hio Law of Contract sasa huyo mwalimu aliwezaje kua ugonjwa wako maana hakana nyama wa shepu amekauka kama kaukau mkuu mbona unafeli sasa ikawaje wamhamishie Social Security Law na Law of Succession hahahaha maana kabla ya kubebwa bebwa kwenye zile nafasi zake ndo masomo yake hayo alokua akifundisha...
 
Back
Top Bottom