Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
PunhetaLiandike tuone linavyotamkwa kwa kireno
Of course tulikuwa tunafanya; tunasema neno la punyeto limetoka wapiJe, kabla ya Wareno tulikuwa hatufanyi hili jambo ndiyo maana hatukuwa na jina letu, wametufundisha wao?
Nimeuliza hivyo kwa sababu, katika somo la etymology, vyanzo vya maneno, mara nyingi sana lugha ikitohoa neno na kulitumia kutoka jamii nyingine, maana yake ni kuwa hilo jambo kuna uwezekano mkubwa halikuwapo katika jamii hiyo.Of course tulikuwa tunafanya; tunasema neno la punyeto limetoka wapi
😂 🙌 Itakuwa wareno mkuu ndio walianzisha kuifurumua hii kitu, duh ni kasheshe.Nimeuliza hivyo kwa sababu, katika somo la etymology, vyanzo vya maneno, mara nyingi sana lugha ikitohoa neno na kulitumia kutoka jamii nyingine, maana yake ni kuwa hilo jambo kuna uwezekano mkubwa halikuwapo katika jamii hiyo.
Kwa mfano, Wareno tumetohoa maneno mengi kwao, mfano mmoja ni gereza, jamii yetu haikuwa na magereza mpaka walivyokuja Wareno, tukapata neno gereza kutoka kwa Wareno kwa sababu hatukuwa na gereza.
Ndiyo maana nikauliza labda inawezekana hatukuwa na punyeto tumeijua kwa Wareno.
Akina Vasco Da Gama na Botholomew Diaz walikuwa wananyetuka wakiwa kwenye mashua yao wakielejea pwani ya afrika mashariki.secretarybird njoo upate elimu
Itakuwa maana walikuwa safarini siku nyingiAkina Vasco Da Gama na Botholomew Diaz walikuwa wananyetuka wakiwa kwenye mashua yao wakielejea pwani ya afrika mashariki.
Pia ndo maana wakawa na akili kubwa sana. Idea ya kujenga Ngoma ya Yesu (fort Jesus) mnamo mwaka 1498, waliipata kutokana na mchezo tukuka wa nyeto.Itakuwa maana walikuwa safarini siku nyingi
Fort Jesus gani hiyo ya mwaka 1498Pia ndo maana wakawa na akili kubwa sana. Idea ya kujenga Ngoma ya Yesu (fort Jesus) mno mwaka 1498, waliipata kutokana na mchezo tukuka wa nyeto.
Ile iliyojengwa pale Mombasa.Fort Jesus gani hiyo ya mwaka 1498
Sio 1593?Ile iliyojengwa pale Mombasa.
Nilikuwa nakutega tu ili nijue kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo.Sio 1593?
Mimi si nimesoma juzi tu🤣Nilikuwa nakutega tu ili nijue kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo.
Hongera kwa kufaulu mtihani wangu 👏.
Haijalishi umesoma lini. Muhimu ni kuwa mfuatiliaji ili uongeze upeo 😎.Mimi si nimesoma juzi tu🤣
Kwa hiyo we unatega watu🤣Haijalishi umesoma lini. Muhimu ni kuwa mfuatiliaji ili uongeze upeo 😎.