Je, wajerumani ni aliens?

Je, wajerumani ni aliens?

Ujeruman ni nchi iliyo kimya sana.. Haina mbwe mbwe kabisa.....
 
Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na mjerumani ni kitu chenye thamani Kubwa sana, uwezo wake kijeshi na jinsi alivyojaribu kuitawala dunia mara mbili, jinsi anavyowabagua hata weupe wenzake na mambo mengine mengi yanayofanywa na mjerumani yanaonyesha yupo tofauti na watu wote duniani.

Nasikia wao ndio waligundua kula rambirambi na wewe nahisi ni jemani shafadi
 
Sema umependa tu usitake kuleta mambo mengine kuna mwingine aliyependa Mzungu wake wa USA atesema hivyo hivyo, mwingine kazimia kwa Mjapani atasema pia kama wewe kuna mwingine kafa kazikwa kwa Mchina, ni nguvu ya mapenzi tu inakusukuma!
Babrosa umekurupuka mama. Ikulu ya magogoni ni ujenzi wa mjerumani.. lakin mpaka leo jengo liko strong. Wajeruman bidhaa zao.ni imara sana, Dunia inajua.. labda kama ww hujawahi tu kutumia..
 
Babrosa umekurupuka mama. Ikulu ya magogoni ni ujenzi wa mjerumani.. lakin mpaka leo jengo liko strong. Wajeruman bidhaa zao.ni imara sana, Dunia inajua.. labda kama ww hujawahi tu kutumia..


Ni mahaba tu yanakusumbua ukienda Kenya watakwambia hivyo hivi khs Waingereza, ukienda Msumbiji watesema kama ulivyosema khs Wareno, ukifika Asmara Eritrea wanamsifu Muitaliano kama Mungu!
 
Lkn kiteknolojia wapo nyuma ya China, USA, Russia
Hehehe brother wewe ndio hujui. angalia magari anayotengeneza mjerumani.. angalia vifaa vya kijeshi anavyotengeneza mjerumani.
Eti yuko nyuma.. mchina hatoboi pale.. america wenyewe ni wanakaribia tu.

Unajua next gen za ndege mpya za kivita za america. Design yake ilitoka ujerumani?
 
Ni mahaba tu yanakusumbua ukienda Kenya watakwambia hivyo hivi khs Waingereza, ukienda Msumbiji watesema kama ulivyosema khs Wareno, ukifika Asmara Eritrea wanamsifu Muitaliano kama Mungu!
Si mahaba.. bali kazi zao zinaonekana wazi...
Wanaonyesha kwa vitendo na si porojo.
 
Si mahaba.. bali kazi zao zinaonekana wazi...
Wanaonyesha kwa vitendo na si porojo.


Hivyo ni uonavyo wewe, wengine wanaona hivyo hivyo kwa Wareno, Wachina, Wajapani, Wafaransa n.k. na wana haki sawa na wewe!
 
Kwa innovations wajerumani wanaongoza wachina wenyewe wanakuja kibao huko kujifunza.
 
Kuuliza si ujinga yakhee mwazungunzia germany shepherd auu mana nkosa jibu kati!!
 
To be honestly wajerumani wapo vizuri na hawana mbwembwe imagine ndo nchi yenye uchumi mkubwa na miundombinu bora kuliko any other european country , jamaa wapo vizuri kila mahal , imagine mfano kwenye footballwana academy za kuzalisha vijana zaa kutosha na zenye kutoa matokeo mazuri ikumbukwe hawakufanya vizur kwenye kombe la dunia much ndan ya miaka ya 2000 xo mpaka wanakuja kuchukua kombe la dunia 2014 brazil ni uwekezaji mkubwa xana xo tuache maneno yetu tuliyorithishwa na waingereza maneno ya mbwembwe , unafiki mwingi , mipango hewa na meng mengine ,,,, iwish ningekua mjeruman coz nina element zao ,
 
Warumi (italy) wametawala dunia zaidi ya karne nzima hao mabwege ata kuwa super power hawajawahi kuwa, mimi nilifikiri unazungumzia urusi au marekani
Watu wa mwanzoni kabisa kuchallenge utawala wa kirumi (roman empire)ni wajerumani..wanakabila lao linaitwa "gala"
 
Wamerekani na Warussi Waliiba teknolojia nyingi za ujerumani na kuwateka wanasayansi wake wakati wa vita vya pili vya Dunia so ujerumani kama wangefanikiwa kutawala dunia wangekua mbali sana na walidhoofishwa baada ya vita kwa kutenganishwa Ujerumani mashariki na Ujerumani Magharibi kabla hawaja vunja ukuta wa
Berlin na kuungan tena. Leo tunavyozungumza Ujerumani ndio Injini ya uchumi wa Ulaya
 
Hehehe brother wewe ndio hujui. angalia magari anayotengeneza mjerumani.. angalia vifaa vya kijeshi anavyotengeneza mjerumani.
Eti yuko nyuma.. mchina hatoboi pale.. america wenyewe ni wanakaribia tu.

Unajua next gen za ndege mpya za kivita za america. Design yake ilitoka ujerumani?
embu tuanzie apa kweny teknolojia ya ndege za kivita ivi German fighter jet zake ni zip nisaidie niweze kuzi fahamu maana mara nyng nasikia

ndege za kimarekani kma F15,16, 18 F22 Raptor, F35 joint strike ama kwa Mrusi hua nasikia Mig21, Mig 23, Mig 29 ama Sukhoi kwa France pia nafahamu ndege zake pia kwa Europe/Nato wana Europe Typhoon

nnachotaka n unieleweshe izo next gen ambazo Usa ame copy kwa German n zip na anazo milik German ni ndege zip ambazo kimfanano zinakaribiana na za
Usa

naomba ufafanuz apa mkuu
 
Acha mambo yako USA tek
nolojia yote mpaka ya kuwasiliana na aliens kaipata kwa mjerumani, unaambiwa ujerumani sio taifa la hapa mpaka kuitisha mkutano wa Berlin sio hivi hivi.
Sasa aliens ni nani mbona unajichanganya? Mara unasema mjerumani alien, mara muamerika anawasiliana na aliens!
Na unaweza kutufafanulia maana ya aliens?
 
Wajerumani si Aliens bali ni moja ya jamii inayoangoza ULAYA kwa watu wake kuwa na INTELLIGENCE {uwezo mkuwa wa ufahamu na maarifa} kama zilivyo jamii za ASIA za Koreans na Japanese
 
Back
Top Bottom