Je, wajerumani ni aliens?

Je, wajerumani ni aliens?

To be honestly wajerumani wapo vizuri na hawana mbwembwe imagine ndo nchi yenye uchumi mkubwa na miundombinu bora kuliko any other european country , jamaa wapo vizuri kila mahal , imagine mfano kwenye footballwana academy za kuzalisha vijana zaa kutosha na zenye kutoa matokeo mazuri ikumbukwe hawakufanya vizur kwenye kombe la dunia much ndan ya miaka ya 2000 xo mpaka wanakuja kuchukua kombe la dunia 2014 brazil ni uwekezaji mkubwa xana xo tuache maneno yetu tuliyorithishwa na waingereza maneno ya mbwembwe , unafiki mwingi , mipango hewa na meng mengine ,,,, iwish ningekua mjeruman coz nina element zao ,
Umesema sahihi kabisa
 
Wajerumani si Aliens bali ni moja ya jamii inayoangoza ULAYA kwa watu wake kuwa na INTELLIGENCE {uwezo mkuwa wa ufahamu na maarifa} kama zilivyo jamii za ASIA za Koreans na Japanese
Hiv unawezaje kujenga jamii ikawa na huo uwezo Wa intelligence kubwa kichwani . huenda na bongo tujifunze hii
 
The Aryan race,the best race in the world.Wajerumani Wanasema mungu alipoanza kuumba binadamu duniani,alianza kuwaumba wao kwanza.Naweza kubaliana nao,jaribu kufikiri hawa jamaa wamepigana na kuchangiwa na dunia nzima mara mbili.na baada ya muda kidogo wanarudi juu tena.Sasa hivi uchumi wao ndo bora ulaya,kimichezo,kijeshi,ubora wa bidhaa za viwanda,kiurefu na miili mikubwa,kila kitu.Watu pekee ninao waona katika dunia hii wanaweza kushindana na mjerumani ni wajapani..hii nayo ni namba mbaya
 
To be honestly wajerumani wapo vizuri na hawana mbwembwe imagine ndo nchi yenye uchumi mkubwa na miundombinu bora kuliko any other european country , jamaa wapo vizuri kila mahal , imagine mfano kwenye footballwana academy za kuzalisha vijana zaa kutosha na zenye kutoa matokeo mazuri ikumbukwe hawakufanya vizur kwenye kombe la dunia much ndan ya miaka ya 2000 xo mpaka wanakuja kuchukua kombe la dunia 2014 brazil ni uwekezaji mkubwa xana xo tuache maneno yetu tuliyorithishwa na waingereza maneno ya mbwembwe , unafiki mwingi , mipango hewa na meng mengine ,,,, iwish ningekua mjeruman coz nina element zao ,
Hitler kawasaidia sana, kawapa misingi mizuri kiasi kwamba mpaka leo hawajatetereka!!
 
Sidhani ni wakaida coz tofauti na benz na Volkswagen hawana usafiri mwingine wa maana, angalau ungesema British ni tofauti ningekuelewa till today the best military vehicle ni jeep na land rover, kuna kitu umekimiss uhusiano wa Germany na Jews ukifatilia utaona sio kwamba wanauwezo sana isipokua ni wabaguzi sana na wanajiona watofauti na wenzao ila ukweli ni taifa la kawaida tu ulaya huwezi kulilinganisha na China wala Japan, ndio taifa linatumia He cjui kama kuna jingine, walikua wazuri kwenye umeme but tangu wakorofishe Jews wamebaki na urefu wa mwili tu.
 
German machine never cease
If cease never die .
Watoto wa Hitler ni noma sana
Ujerumani ilipiga bara zima la ulaya katika kipindi cha vita ya pili ya dunia
 
Warumi (italy) wametawala dunia zaidi ya karne nzima hao mabwege ata kuwa super power hawajawahi kuwa, mimi nilifikiri unazungumzia urusi au marekani
Ila katika utawala wao upinzani mkubwa walikuwa wanaupata kutoka kwa wajerumani
 
Wanabodi nimeshawishika kuuliza hivi kutokana na maendeleo waliyonayo hawa mabwana pamoja na uwezo mkuu walionao katika kufanya mambo kwa usahihi kabisa, kwanza kitu chochote kilichotengenezwa na mjerumani ni kitu chenye thamani Kubwa sana, uwezo wake kijeshi na jinsi alivyojaribu kuitawala dunia mara mbili, jinsi anavyowabagua hata weupe wenzake na mambo mengine mengi yanayofanywa na mjerumani yanaonyesha yupo tofauti na watu wote duniani.
Mjeruman alikuwa zamani vitu vyake vya zamani vilikuwa na thamani kubwa kwa sasa hivi hana kitu cha maana.
 
Back
Top Bottom