Je Waislam wamekubali kuchonganishwa?

Je Waislam wamekubali kuchonganishwa?

Mkuu, sio kila kitu ni cha kuanzishia uzi. Na sio kila kitu ni kuweka siasa zenu tu. Halafu why mambo ya mtandao unataka kuwaingiza Waislam kama kundi ndani yake. Nani kakuambia Waislam wa Tanzania wanajishughulisha kwa ujumla wao na haya mambo na kuwa na makundi makundi yanayotokana na jambo hili?

View: https://vm.tiktok.com/ZSXPbbnL5/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
1784308394699.jpg
 
Ostaz juma shehe kishki shehe wa dar na huyo binti... Wote wameukuta uislamu na watauacha uislamu unabiki kuwa uislamu
 
Kuna drama nyingine ndogondogo nyingi tuu.. Wanatubadilishia cd tuu😀
Waw! Kwa asili (Natural phenomena) maji huwezi kuyazuia ila unaweza kuyaongoza yapite wapi iliyasisababishe madhara. Lakini maji yakifikia kiwango cha mafuriko hakuna mbinu yoyote itakayofanya kazi ila ni aidha wewe uyapishe au yakuzoe.
 
Waislam walisimamia msimamo wa Amani na kupinga kuleta uchochezi na kuleta machafuko kwa kisingizio cha Haki. Walisimamia Amani. Walisimamia Dini yao inavyowafundisha katika kuamiliana na mtawala na kuhifadhi Amani ya Nchi. Waislam hawapaswi kufuata matamanio ya makafiri, wanatakiwa kuifuata Dini yao.

Pamoja na hayo walisimama kupinga chuki dhidi ya Rais Muislam ambaye anapigwa vita kwa sababu ya Dini yake. Anasumbuliwa na kuwekewa mazingira ya kutotawala kwa Amani kwa sababu ni Muislam.
Hata sidhani kama umesoma na kuelewa kilichoandikwa ama kama unafuatilia yanayoendelea mitandaoni
 
Mkuu, sio kila kitu ni cha kuanzishia uzi. Na sio kila kitu ni kuweka siasa zenu tu. Halafu why mambo ya mtandao unataka kuwaingiza Waislam kama kundi ndani yake. Nani kakuambia Waislam wa Tanzania wanajishughulisha kwa ujumla wao na haya mambo na kuwa na makundi makundi yanayotokana na jambo hili?
Mkuu,ili linastahili Uzi na mtoa mada ametoa mtizamo wake tu.
Hajautukana Wala kuusema vibaya uislam ila ameshuku TU.
Ila Kwa Dunia yetu hii ilojaa wafitini Kila kitu kinawezekana mkuu.
Unachokipuuzia wewe mwenzako kakifanya "siriazi,
 
Back
Top Bottom