Kaka,Sio kila jambo linaonekana kwa macho ila tunatumia hisia katika kutambua uwepo wake.
Una amini katika sayansi je,unaweza kunithibitishia Energy?kani ya mvutano inayosababisha earth quake?Unaweza kuonesha nguvu kwa macho yako?
Kuna maneno kama hisia,huzuni yapo lengo kuwakilisha hali fulani ndani ya miili yetu,na sisi tunaamini kuwa hakuna kinachoishi posipo miliki dunia na vilivyomo ndani yake na jinsi vinavyofanya kazi hesabu zake ujue vinaenda sambamba na kupangiliwa,je utabaki nadharia za bing bang theory au Cosmology theory?
Mungu yupo na atazidi kuwepo.