min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,172
- 166,883
Africa bado sana kiongoziHuyo jamaa hata hajui earthquakes zinasababishwa na nini.
Africa bado sana kiongoziHuyo jamaa hata hajui earthquakes zinasababishwa na nini.
Halafu Waafrika wengi hatujui kuwa hatujui, na tunapenda sana kujimwambafy kuwa tunajua.Africa bado sana kiongozi
Mno bro , akili yako ni kubwa mno humu .Halafu Waafrika wengi hatujui kuwa hatujui, na tunapenda sana kujimwambafy kuwa tunajua.
Au pengine hatujali kama tunajua au hatujui, tunarahisisha tu kuwa earhquakes zinasababishwa na kani ya uvutano.
wewe unaona zinasababishwa na nini?Huyo jamaa hata hajui earthquakes zinasababishwa na nini.
kani ya mvutano ni kitu chengine,earth quake ni inshu ya compressional and tensional force usije kunizania mimi ni mbulula kama wengine.Halafu Waafrika wengi hatujui kuwa hatujui, na tunapenda sana kujimwambafy kuwa tunajua.
Au pengine hatujali kama tunajua au hatujui, tunarahisisha tu kuwa earthquakes zinasababishwa na kani ya uvutano.
usiforce ujinga wako wa kupinga mungu ukawaambukiza watu wengine ujinga huo,kama unavyoona wanaoamini katika mungu hawana uhuru the same you haupo katika uhuru.Halafu Waafrika wengi hatujui kuwa hatujui, na tunapenda sana kujimwambafy kuwa tunajua.
Au pengine hatujali kama tunajua au hatujui, tunarahisisha tu kuwa earthquakes zinasababishwa na kani ya uvutano.
Kwanza umekubali hazisababishwi na kani ya uvutano?wewe unaona zinasababishwa na nini?
"Inshu" ni nini wewe ngumbaru?kani ya mvutano ni kitu chengine,earth quake ni inshu ya compressional and tensional force usije kunizania mimi ni mbulula kama wengine.
najua nachokwambia,na huo ujinga wako wa kutojikubali eti waafrika bra bra hivi we ni mzima wa akili?
Wewe ndiye unajamba halafu unanilaumu mimi?usiforce ujinga wako wa kupinga mungu ukawaambukiza watu wengine ujinga huo,kama unavyoona wanaoamini katika mungu hawana uhuru the same you haupo katika uhuru.
Nakazia mungu yupo mmoja na hakuna mfano,na atakuwepo..
Mnapoteza Nguvu kubwa sana kujadiliana na Watu ambao walitakiwa wawe hodi za wagonjwa wa Akili na sio hapa jf.kani ya mvutano ni kitu chengine,earth quake ni inshu ya compressional and tensional force usije kunizania mimi ni mbulula kama wengine.
najua nachokwambia,na huo ujinga wako wa kutojikubali eti waafrika bra bra hivi we ni mzima wa akili?
Pumzi inakuhadaa, sababu unaivuta bure basi unajiina mjanja , uhai aliokupa mola wako vipi unamka?Mambo ya kudanganyana Misikitini usilete hpa