Ni waislam ndio huombaomba wajengewe misikiti, wakristo kuomba wajengewe kanisa itabidi ujenge makanisa kila dhehebu, wao hujenga wenyewe kwa kujichangisha kila dhehebu. Mind kuwa siku hizi hakuna misaada ya wamisionari wazungu waliokuwa wanajenga makanisa, ukimpata basi atakuwa mmisionari wa kujitegemea hela yake mwenyewe amejichanga au amechangiwa na marafiki zake huko kwao ila hana chama wala shirika la kimisionari toka ulaya na amerika. Misikiti ndiyo inayojengwa sana nyakati hizi. Mara msikiti wa mohamed wa 6, mara msikiti wa ghadafi, sijui msikiti wa nani. Wapi makanisa yanajengwa ukiacha machache ya wakatoliki, walutheri na waanglikana? Wengine ni mwendo wa mahema, magodauni na magofu ya majumba makubwa