zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,259
Maisha yanachanganya sana aisee....
"Unaweza subiri ufanikiwe ndio uoe kumbe unatakiwa uoe ndio ufanikiwe"
"Unaweza subiri ufanikiwe ndio uoe kumbe unatakiwa uoe ndio ufanikiwe"
I salute you ChiefMaisha yanachanganya sana aisee....
"Unaweza subiri ufanikiwe ndio uoe kumbe unatakiwa uoe ndio ufanikiwe"
Braza achana na hizi mada..Jamani habari wakuu,
Natumaini mpo poa kuna jambo nataka kujua kutoka kwenu hasa kwa wale wanaume wenzangu mliopatwa na jambo kama hili.
Hivi ikitokea umezaa na mwanamke flani mtoto na mmedumu kwa miaka kama mitatu hivi japo wewe hujajipanga bado kimaisha hata kazi official hujapata still una Hustle lakini mwanamke wako kila siku analalamika kuhusu Ndoa..kwamba anataka umuoe mpaka anafikia stage ya kusema kuachane japo kweli unampenda and she is wife material!
Je, uamuzi gani wa busara ulichukua au utachukua? Au inawezekana kuna mtu anamdanganya huko nje anataka kumuoa?
Ushauri jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo nae na hajafanikiwa kipi kitakachofanya afanikiwe akisha muoa
Mzee wa kimaskhara heshima kwako.
Kwanza mueleze ukweli kama ulivyo eleza hapa. Kisha aamue mwenyewe kama akiikubaliana na hali fanya kama anavyo taka.
Mungu atafungua njia tuu. Be with confidence
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu wanaume mnajidanganya kuwa hamuwezi kuoa mkiwa bado mnahustle, ni kwa sababu mmeshajiwekea ile notion kwamba mwanamke ukimuoa huku bado unahustle atachoka kuvumilia atakukimbia.
Huyo mwanamke yeye anajua kuwa bado unatafuta pesa ila bado kataka umuoe hivyo hivyo kwa maana kwamba anajua kuwa ataweza kukuvumilia ukiwa bado unatafuta pesa, sasa wewe unachojishauri hapo ni nini.
Mtangazie tu mkuu wangunaomba nitangaze ndoa, bado nina hustle hata mimi
Mtangazie tu mkuu wangu
Oohh mimi tayari nishatangaziwa ndoa mkuuwewe ndio mlengwa sana, utanikubalia kweli