Diamond na Davido kwenye hit moja tena

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,829
15,791
Msanii Lumino kutoka Congo amewakutanisha tena wakali wa muziki Africa Diamond na Davido ambao baadhi ya mashabiki wanaamini 'hawawivi' kama zamani, awali huo wimbo unaoitwa 'Rockonolo' uliimbwa na Lumino akimshirikisha Mahombi, kwa sasa utawahusisha wasanii wanne Lumino,Mahombi,Diamond na Davido.

Diamond alikwisha tia vocal zake, kwa ambao mmeona performance ya juzi Gabon mtakuwa mmeisikia, naona na Davido wamemuweka baada ya kukutana naye kwenye show. Video imeanza kushootiwa hukohuko Gabon, kuna baadhi ya shots zitachukuliwa Tanzania.

NB: Hii remix naitabiria makubwa, Diamond katupia kaverse amazing ngoja tusubiri tuone verse ya Davido
 
Screenshot_20170116-055150.png
 
Wenyewe wamemkubali na wanamuita SIMBA, mfalme wa pori la muziki.
 
Back
Top Bottom