Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Lakini kuna haja na Wewe mwenyewe kujihoji Kwenye nafsi yako Kwa Uaminifu wote kabisa inamaana Wewe hakuna % hata ndogo ulowakosea? Ndo maana kuna umuhimu wa kutafuta kukutana nao kwa wakati tofauti tofauti na kuongea nao , yamkini kuna maneno yamepita hapo katikati yenu ambayo umeletewa Wewe na wengine na yamkini hata hawakuyasema wala kuyatenda!