Na'am; "B" Ndio...
hiyo inakubalika kihalaiki na ihlaki pia ni moja ya ujenzi wa kudumisha mapenzi, Kwa kuwa maji ni uhai mnapokuwa katika bafu au bwawa la maji mkiji mwagia maji na partner wako tamasha hilo laingiza imaani na hisia njema katika roho na mwilini.... impact yake hukuweka katika furaha muda mrefu, na furaha ndiyo chakula cha moyo !!
Kama namuingilia/anaingiliwa na mimi kwa nini nishindwe kuoga nae na akipenda namuogesha na mimi ananiogesha kwa hiyo tunaogeshana ....................!
B....NDIO...Sio kuoga tuu ...Hata huko bafuni kunaruhusiwa kuendeleza yote yapasayo kitandani.kIFAA KIKIWA NDANI HUKU NAENDELEA KUMPAKA SABUNI NA KUMSUGUA MGONGO. Jaribu utaniambia ladha yake!!!
Haya maji mnayooga na kutiririka namna hii ni maji ya DAWASCO?
My take: DAWASCO inasababisha ndoa zetu zikose vionjo kutokana na kukosa huduma hii muhimu.
NB. Hii ni kwa wana Dsm tu. mikoani wako poa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.