Je unaweza kuoga na mpenzi wako?

Je unaweza kuoga na mpenzi wako?

C -Haitatokea.
Niko nyumba ya kupanga, choo humohumo na bafu humohumo.

Labda nikimaliza ujenzi nitahamia kwenye B, ila inaweza ikawa A kwa maana nina D nyingi.
 
Nina aibu ila huwa naoga nae. Lakn hata NDIO pia ni jibu sahih coz huwa naoga nae
 
kwa hiyo hata sabuni ikianguka jamaa akainama kuokota unamwona ASS HOLE fresh tuu na jamaa hajishtukii wala nini au AKIJAMBA KIKANUKA MBAYA AU KIKILIA MBAYA..maana si hakuna siri
B..sisi ni wapenzi..kati yetu hakuna siri wala aibu
 
kawaida yetu hiyo kila tunapokuwa pamoja na mupenzi ,inaraha yake kwa sisi magwiji.
 
B"tena ukute anajua na mahanjumati mengine weeeh huta muacha'kitu' inawekwa kwenye kisosa inaoshwa weeeeh maji yana iliki mmmmhhh
 
B....NDIO...Sio kuoga tuu ...Hata huko bafuni kunaruhusiwa kuendeleza yote yapasayo kitandani.kIFAA KIKIWA NDANI HUKU NAENDELEA KUMPAKA SABUNI NA KUMSUGUA MGONGO. Jaribu utaniambia ladha yake!!!

Sina cha kuongeza...kama ulikuepo kichwani mwangu
 
A. Hapana
B. Ndio
C. Haita tokea
D. Nina Aibu

Baada ya kuchagua jibu, tiririka kidogo

none of the above.....nyumba ya kupanga,vyumba 12,bafu moja[hilo hilo ndio choo],nikiingia peke yangu tu nagongewa kila dk 2 sasa tukiingia wawili si tutafukuzwa na mwenye nyumba!!!
 
Haya maji mnayooga na kutiririka namna hii ni maji ya DAWASCO?
My take: DAWASCO inasababisha ndoa zetu zikose vionjo kutokana na kukosa huduma hii muhimu.
NB. Hii ni kwa wana Dsm tu. mikoani wako poa.

Na msikae nyumba yenye bafu la kusubiriana au la nje
 
Back
Top Bottom