Je unaweza kukubali jambo ili ?

Je unaweza kukubali jambo ili ?

Kuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine

Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo wake Na Yule demu anakuja kukuambia kuwa kama dada Yake amekupoteza yeye hayupo tayari kukuoana ukiwa katika stress kwa hiyo Yupo tayari kuendelea Na wewe kama utampa nafasi katika moyo Wako

Kwa Akili Yako wewe unaweza kukubali jambo ilo ?
Na je ni sahii katika jamii ?
Kijana mnafungua shule lini?
Na kwa nini huendi tuisheni?
 
Kuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine

Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo wake Na Yule demu anakuja kukuambia kuwa kama dada Yake amekupoteza yeye hayupo tayari kukuoana ukiwa katika stress kwa hiyo Yupo tayari kuendelea Na wewe kama utampa nafasi katika moyo Wako

Kwa Akili Yako wewe unaweza kukubali jambo ilo ?
Na je ni sahii katika jamii ?
ni jambo zuri na halina ubaya
 
Ishi maisha yako mkuu ,itafute furaha yako ndani yako , usikubali mtu mwingne aje apoteze furaha yako .
 
Back
Top Bottom