Je unaweza kukubali jambo ili ?

Je unaweza kukubali jambo ili ?

Kuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine

Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo wake Na Yule demu anakuja kukuambia kuwa kama dada Yake amekupoteza yeye hayupo tayari kukuoana ukiwa katika stress kwa hiyo Yupo tayari kuendelea Na wewe kama utampa nafasi katika moyo Wako

Kwa Akili Yako wewe unaweza kukubali jambo ilo ?
Na je ni sahii katika jamii ?
kisasi ni haki ya kila mtu
 
Umeletewa nyapu ya bure una rembaremba, peleka moto jomba utajua ni sahihi au siyo sahihi akili ikishasahau pigo ulilopewa na dada yake
 
Tatizo moyo wako bado utakuwa bado upo kwa yule dada Yake aliyekuacha.Hata mdogo wake awe serious kiasi gani bado utaona hawezi kufit kwenye Viatu vya dada Yake.

Mapenzi jamani, unampenda hakupendi na anayekupenda humpendi 🤔
Yan hampendani tu😀😀
 
Umeletewa nyapu ya bure una rembaremba, peleka moto jomba utajua ni sahihi au siyo sahihi akili ikishasahau pigo ulilopewa na dada yake
Akitoka hapo ana supa Gono
 
nimecheka balaa yaani bila aibu unasema mmejaa mpo single wakati mnavizia nani mwenye pay.

Maneno ya vijiweni hayo wanawake hatufanani so kila mtu na demand yake so kuna wenye kigezo pesa na wenginee wanataka future hubby
 
Back
Top Bottom