kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Kuna demu unapendana naye saana mpaka mkawa Na mpango wa kuoana lakini kwa bahati mbaya demu anasau ahadi zenu zote Na kwenda kuolewa Na mwanaume mwingine
Ukiwa katika stress za kuachwa mdogo wake Na Yule demu anakuja kukuambia kuwa kama dada Yake amekupoteza yeye hayupo tayari kukuoana ukiwa katika stress kwa hiyo Yupo tayari kuendelea Na wewe kama utampa nafasi katika moyo Wako
Kwa Akili Yako wewe unaweza kukubali jambo ilo ?
Na je ni sahii katika jamii ?