ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Hata hizi sifa za Mungu na Shetani ni kama zimetungwa tu na ubinadamu wetu, mi siamini kama shetani alikuwa na roho ya uovu tangu awali, ni tofauti tu za kiitikadi zilizotokana na uoni hafifu juu ya kanuni za Kiungu, mfano hata hii leo shetani anatenda wema mwingi sana ktk kujitaidi kuitawala hii dunia vizuri, uoni wake mdogo, kila jema alitendalo huzaa matunda machungu.God and satan,demons and angeld,Wema na uovu,giza na nuru,female and male,uzuri na ubaya,life and death,heaven and hell,up and down,nadhani hata kama malaika na mashetani hayako hivo yanavyokuwa portrayed kwenye picha,i believe picha hizo pia zinawakilisha two states of existence au tuseme dualism au two truths of nature
Ya Mungu
Malaika
Wema
Nuru
Uhai
Mbinguni
Juu
Ya shetani
Demons
Uovu
Giza
Hell
Kifo
Chini