Je, unawafahamu hawa kwa sura?

Je, unawafahamu hawa kwa sura?

Nawazungumzia Mungu mkuu (sio miungu) shetani na malaika... Katika mkondo huo pia kuna mapepo majini mizimu nk

Neno linasema..... Basi natuumbe mtu kwa mfano wetu.... Kwa mujibu wa maandiko matakatifu haya yalikuwa ni maneno ya Mungu mkuu...
Tafsiri yake ni nini?
Kwamba kulikuwa na maisha kabla ya uumbaji wa dunia na mwanadamu... Na ya kwamba Mungu hakuwa pekeyake..... Most likely alikuwa na malaika ambao walikuwa Wasaidizi wake..... Lakini ndani ya huyu Mungu mkuu alikuwepo Mungu baba(The source chanzo asili) Mungu mwana (physical body mwili uharibikao ) Mungu roho (conscious body roho isiyokufa ) ...dhana ya utatu mtakatifu.... Mimi nipo ambaye nilikuwepo nipo na nitakuwepo (milele) yeye nani? Mungu mkuu katika utatu wake..... [emoji779] [emoji779] [emoji779]

Kwa ufafanuzi huo sisi ni mfano wa Mungu kwa umbo,(asili) ni mfano wa Mungu(kwa mwili wa nyama) ni mfano wa Mungu (kwa pumzi ya uzima)
Tuliumbwa tukiwa masanamu yasiyo na uhai mpaka pale tulipopuliziwa pumzi ya uhai...
Baada ya hapo Siri ya uumbaji imebaki kwake yeye kupitia uzazi.... Uumbaji mwingine wowote umeshindwa kabisa kufikia viwango vya Mungu mwenye enzi yote
Ni katika kujaribu kuumba kama Mungu tumejikuta tunaumba, tunachonga, tunachora na kutengeneza masanamu na mapicha huku mengine tukiyaabudu na kuyaogopa kabisa
b3a21a39f1a580de051027c78508a6a8.jpg

Kwa fikra za kawaida za kibinadamu na mtazamo juu ya kile alichomaanisha Mungu tumejikuta tunajichorea na kujitengenezea mipicha ya kutisha kufurahisha kufariji na hata kuchekesha kabisa
Hatumjui Mungu kwa hakika wala shetani wala malaika, picha zote tunazoziona ni kwa muktadha na mtazamo wa kibinadamu kutokana na maandiko
Kwamba shetani na kaliba yake ni madude mabaya ya kutisha sana...
Kwamba malaika ni viumbe wapole wenye mvuto sura nzuri mavazi meupe ya kupendeza sana nk
Tulichonyimwa ni ufahamu wa kiroho ufahamu wa Kimungu ambao kama tukiufahamu wote basi tutakuwa tumeifikia ile njia ya ukamilifu wa Kimungu
Usitishike wala kufurahishwa na mapicha ya wanadamu.... Hayana uhalisia... Viumbe roho havina umbo wala sura maalum
344b9000bcf20098c92aabfbb2d564ca.jpg
Duu hatarii
 
What does the last picture suppose to mean sire
 
Mungu ni mwanaume mzungu, mzee mwenye ndevu nyingi kama Osama bin laden
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Nawazungumzia Mungu mkuu (sio miungu) shetani na malaika... Katika mkondo huo pia kuna mapepo majini mizimu nk

Neno linasema..... Basi natuumbe mtu kwa mfano wetu.... Kwa mujibu wa maandiko matakatifu haya yalikuwa ni maneno ya Mungu mkuu...
Tafsiri yake ni nini?
Kwamba kulikuwa na maisha kabla ya uumbaji wa dunia na mwanadamu... Na ya kwamba Mungu hakuwa pekeyake..... Most likely alikuwa na malaika ambao walikuwa Wasaidizi wake..... Lakini ndani ya huyu Mungu mkuu alikuwepo Mungu baba(The source chanzo asili) Mungu mwana (physical body mwili uharibikao ) Mungu roho (conscious body roho isiyokufa ) ...dhana ya utatu mtakatifu.... Mimi nipo ambaye nilikuwepo nipo na nitakuwepo (milele) yeye nani? Mungu mkuu katika utatu wake..... [emoji779] [emoji779] [emoji779]

Kwa ufafanuzi huo sisi ni mfano wa Mungu kwa umbo,(asili) ni mfano wa Mungu(kwa mwili wa nyama) ni mfano wa Mungu (kwa pumzi ya uzima)
Tuliumbwa tukiwa masanamu yasiyo na uhai mpaka pale tulipopuliziwa pumzi ya uhai...
Baada ya hapo Siri ya uumbaji imebaki kwake yeye kupitia uzazi.... Uumbaji mwingine wowote umeshindwa kabisa kufikia viwango vya Mungu mwenye enzi yote
Ni katika kujaribu kuumba kama Mungu tumejikuta tunaumba, tunachonga, tunachora na kutengeneza masanamu na mapicha huku mengine tukiyaabudu na kuyaogopa kabisa
b3a21a39f1a580de051027c78508a6a8.jpg

Kwa fikra za kawaida za kibinadamu na mtazamo juu ya kile alichomaanisha Mungu tumejikuta tunajichorea na kujitengenezea mipicha ya kutisha kufurahisha kufariji na hata kuchekesha kabisa
Hatumjui Mungu kwa hakika wala shetani wala malaika, picha zote tunazoziona ni kwa muktadha na mtazamo wa kibinadamu kutokana na maandiko
Kwamba shetani na kaliba yake ni madude mabaya ya kutisha sana...
Kwamba malaika ni viumbe wapole wenye mvuto sura nzuri mavazi meupe ya kupendeza sana nk
Tulichonyimwa ni ufahamu wa kiroho ufahamu wa Kimungu ambao kama tukiufahamu wote basi tutakuwa tumeifikia ile njia ya ukamilifu wa Kimungu
Usitishike wala kufurahishwa na mapicha ya wanadamu.... Hayana uhalisia... Viumbe roho havina umbo wala sura maalum
344b9000bcf20098c92aabfbb2d564ca.jpg

KWANN picha ya malaika umeweka ya jinsia ya kike mkuu???inaa maana malaika ni mademu au
 
kumbe we Jamaa huwa unajitoa fahamu wakati mwingine eehh Upo deep sana Nimekupa salute UTATU MTAKATIFU Safi sana sasa hivi ukiweka Yale matopic yako ya uganga Mara ulozi ntakuwa nacheck then najua2 umejitoa faham hiyo siku sitakuhukumu tena maana nilikuwa naingilia kazi ya Mungu Ahsante kwa bandiko murua kabisa MUNGU MKUU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI AKUBARIKI
 
Ni imagination tu lakini jinsia ni kwa ajili viumbe vyenye mwili kiumbe cha kiroho jinsia ya kazi gani
Hata Hii yako ni imagination tu, mkuu. Akili zetu ndogo za kibinadamu Hazina majibu Kwa mambo yote hasa haya ya kiroho
 
Ni imagination tu lakini jinsia ni kwa ajili viumbe vyenye mwili kiumbe cha kiroho jinsia ya kazi gani
Sahihi kabisa roho haina Jinsia hizi ni tafsiri za kibinadamu
 
kumbe we Jamaa huwa unajitoa fahamu wakati mwingine eehh Upo deep sana Nimekupa salute UTATU MTAKATIFU Safi sana sasa hivi ukiweka Yale matopic yako ya uganga Mara ulozi ntakuwa nacheck then najua2 umejitoa faham hiyo siku sitakuhukumu tena maana nilikuwa naingilia kazi ya Mungu Ahsante kwa bandiko murua kabisa MUNGU MKUU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI AKUBARIKI
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Nawazungumzia Mungu mkuu (sio miungu) shetani na malaika... Katika mkondo huo pia kuna mapepo majini mizimu nk

Neno linasema..... Basi natuumbe mtu kwa mfano wetu.... Kwa mujibu wa maandiko matakatifu haya yalikuwa ni maneno ya Mungu mkuu...
Tafsiri yake ni nini?
Kwamba kulikuwa na maisha kabla ya uumbaji wa dunia na mwanadamu... Na ya kwamba Mungu hakuwa pekeyake..... Most likely alikuwa na malaika ambao walikuwa Wasaidizi wake..... Lakini ndani ya huyu Mungu mkuu alikuwepo Mungu baba(The source chanzo asili) Mungu mwana (physical body mwili uharibikao ) Mungu roho (conscious body roho isiyokufa ) ...dhana ya utatu mtakatifu.... Mimi nipo ambaye nilikuwepo nipo na nitakuwepo (milele) yeye nani? Mungu mkuu katika utatu wake..... [emoji779] [emoji779] [emoji779]

Kwa ufafanuzi huo sisi ni mfano wa Mungu kwa umbo,(asili) ni mfano wa Mungu(kwa mwili wa nyama) ni mfano wa Mungu (kwa pumzi ya uzima)
Tuliumbwa tukiwa masanamu yasiyo na uhai mpaka pale tulipopuliziwa pumzi ya uhai...
Baada ya hapo Siri ya uumbaji imebaki kwake yeye kupitia uzazi.... Uumbaji mwingine wowote umeshindwa kabisa kufikia viwango vya Mungu mwenye enzi yote
Ni katika kujaribu kuumba kama Mungu tumejikuta tunaumba, tunachonga, tunachora na kutengeneza masanamu na mapicha huku mengine tukiyaabudu na kuyaogopa kabisa
b3a21a39f1a580de051027c78508a6a8.jpg

Kwa fikra za kawaida za kibinadamu na mtazamo juu ya kile alichomaanisha Mungu tumejikuta tunajichorea na kujitengenezea mipicha ya kutisha kufurahisha kufariji na hata kuchekesha kabisa
Hatumjui Mungu kwa hakika wala shetani wala malaika, picha zote tunazoziona ni kwa muktadha na mtazamo wa kibinadamu kutokana na maandiko
Kwamba shetani na kaliba yake ni madude mabaya ya kutisha sana...
Kwamba malaika ni viumbe wapole wenye mvuto sura nzuri mavazi meupe ya kupendeza sana nk
Tulichonyimwa ni ufahamu wa kiroho ufahamu wa Kimungu ambao kama tukiufahamu wote basi tutakuwa tumeifikia ile njia ya ukamilifu wa Kimungu
Usitishike wala kufurahishwa na mapicha ya wanadamu.... Hayana uhalisia... Viumbe roho havina umbo wala sura maalum
344b9000bcf20098c92aabfbb2d564ca.jpg

God and satan,demons and angeld,Wema na uovu,giza na nuru,female and male,uzuri na ubaya,life and death,heaven and hell,up and down,nadhani hata kama malaika na mashetani hayako hivo yanavyokuwa portrayed kwenye picha,i believe picha hizo pia zinawakilisha two states of existence au tuseme dualism au two truths of nature

Ya Mungu
Malaika
Wema
Nuru
Uhai
Mbinguni
Juu

Ya shetani
Demons
Uovu
Giza
Hell
Kifo
Chini
 
Back
Top Bottom