Mshana Jr. ...And Still umeelezea Mungu in judeo Christian perspective
Lakini ukifuatila civilization nyingine unaeza pata vitu vya ajabu Sana
Sometimes unaeza fikiri dunia ilikua ikitawaliwa na shetani na Mungu alikua sehemu ndogo Sana ya waja wake..
Pia kuhusu Hizi sura za kutisha za haya majitu zinaez kua sio from human imagination but zina depict real stuffs. Kama ile michoro ya dinosaur iliokutwa afrika magharibi name hatimayr kufukua skeletons za wanyama hawa.
So May be kuna nyakati Fulani katika maisha duniani, majitu ama mazimwi haya yalijifunua mbele za wanadamu ndipo images zao zikatengenezwa kwa sanamu na michoro ya kutisha kupitia simulizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.