Chukua huyo wa benki, wa jeshini huwezi kumpelekesha.Nipe namba za huyo mjeshi
Looh hapo nimewaachia sioni ugonjwa wangu[emoji23]Tazama hapo kisha chukua hatua.View attachment 1553356
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
kuna mtu alipewa zawadi ya jogoo yeye akamtoa zawadi nanihiii, sasa huyu nae tena hahahahhaaha hayaTazama hapo kisha chukua hatua.
View attachment 1553356
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
halafu anajifanya kuwafagilia, watu wenyewe hata kutabasamu hamna baba ndio anajichekesha tu......wana sura ngumu mno,
Wewe utakuwa umesoma shule ya bweni. Hilo neno polygon linanikumbusha Ifunda Tech enzi za HM Mnenuka.Wote ma-polygon
Watu wa Mara wanakunywa ile ngumu kumeza kama anayokunywaga Warioba....inaitwa machozi ya simba.Igp sirro alikuwa amewaka nini? Unawauzaje mabinti zako hivo