Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,329 Nov 6, 2012 #2 mnaprint magazine?
L Lusaa JF-Expert Member Joined Sep 12, 2011 Posts 270 Reaction score 112 Nov 6, 2012 #3 Mbona hakuna kinachopatikana kwenye hiyo website yenu zaidi ya hili tangazo uliloweka humu? Mnaonekana hamko serious na mnachokifanya.
Mbona hakuna kinachopatikana kwenye hiyo website yenu zaidi ya hili tangazo uliloweka humu? Mnaonekana hamko serious na mnachokifanya.
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,329 Nov 6, 2012 #4 Micha said: Mbona hakuna kinachopatikana kwenye hiyo website yenu zaidi ya hili tangazo uliloweka humu? Mnaonekana hamko serious na mnachokifanya. Click to expand... nilijua mimi pekeyangu,sasa sijui link alitupa ili iweje,watz bhana!!!
Micha said: Mbona hakuna kinachopatikana kwenye hiyo website yenu zaidi ya hili tangazo uliloweka humu? Mnaonekana hamko serious na mnachokifanya. Click to expand... nilijua mimi pekeyangu,sasa sijui link alitupa ili iweje,watz bhana!!!
MJIMPYA JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 506 Reaction score 273 Nov 7, 2012 #5 Mnaprint sticker zenye gundi tayari? kama yes 100pcs ni sh ngapi ikiwa pamoja na kudesign?
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Nov 8, 2012 #6 Makanjanja!
Nyaubwii JF-Expert Member Joined Sep 16, 2011 Posts 229 Reaction score 55 Nov 8, 2012 #7 Hawa ndo wale wanaokurupuka bila hata kunawa uso wanakimbilia kupost JF.