Je, unatafuta 'investors' au 'funding for NGO'?

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
575
547
Watu wengi hasa wajasiriamali wadogo na wa kati wanatamani kukuza biashara au uwekezaji wao. Katika tamanio lao hilo wanapata changamoto ya mitaji ijapokuwa tayari wana rasilimali fulani.

Kwa muktadha huo hapo,

1. Kama unahitaji mwongozo na msaada wa kuandikiwa proposal za NGOs na pia kutafutiwa funding opportunities, tuwasiliane kwa email hapo chini.

2. Kwa yeyote yule hasa wajasiriamali wadogo na wa kati anayehitaji wawekezaji katika biashara yake, na business plan na business propsosal tuwasiliane kwa email hapo chini.

Gharama na masharti ya huduma hizi zipo ila zinatofautiana toka biashara moja hadi nyingine na toka mahitaji ya mtu mmoja hadi mwingine.

humble2080@gmail.com.
 
Asante mkuu, najua huduma kama hizi ni ghali sana na wahitaji ni wengi ila hawana na pa kuanzia nami nimependa nitumie skills zangu katika maeneo haya.

Kwa upekee wale wajasiriamali wadogo na wa kati hii ni fursa nzuri. Itumieni vizuri.
 
Watu wengi hasa wajasiriamali wadogo na wa kati wanatamani kukuza biashara au uwekezaji wao. Katika tamanio lao hilo wanapata changamoto ya mitaji ijapokuwa tayari wana rasilimali fulani.

Kwa muktadha huo hapo,

1. Kama unahitaji mwongozo na msaada wa kuandikiwa proposal za NGOs na pia kutafutiwa funding opportunities, tuwasiliane kwa email hapo chini.

2. Kwa yeyote yule hasa wajasiriamali wadogo na wa kati anayehitaji wawekezaji katika biashara yake, na business plan na business propsosal tuwasiliane kwa email hapo chini.

Gharama na masharti ya huduma hizi zipo ila zinatofautiana toka biashara moja hadi nyingine na toka mahitaji ya mtu mmoja hadi mwingine.

humble2080@gmail.com.
Imekaa vyema,nitakutumia mail.
 
Back
Top Bottom