Je unakumbuka vibano na adhabu za shuleni??

Je unakumbuka vibano na adhabu za shuleni??

Ninachoona hawahawa walimu ndio walizalisha baadhi ya mafisadi leo hii ndio wanaliangamiza taifa.SHAME!!!
 
mr.Mbise a.ka ridder jamaa alikuwa noma! King'ori sekondari
 



ADHABU..jpg

Dah!!!! Wenye Viatu wa kuhesabu . Maisha bora kwa kila Mtanzania.
 
Mwalimu edward kazare -muriaza primary school
 
eeeeh,pale bungo primary school morogoro kuna sehemu ya kutesewa inaitwa kwa PILATO,mjomba hapo ukipata hesabu chini ya 50 ya 100 ujue panahusika sana,utalambwa bakora utake usitake utajua na utapenda hesabu tu,hii ilikuwa chini ya mwalimu nambari moja wa hesabu za msingi mosses achimpota,sasa hv ni head teacher huyu jamaa
 
Umenikumbusha mbali sana; adhabu hii inatesa mno; mbaya zaidi ni pale unapobebeshwa kiti;
 
ilikuwa ni dhambi kwangu kumaliza wiki bila kukutana na moja ya adhabu hizo
 
Back
Top Bottom