Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,352
...🙄🙄🙄...KM kwa siku za karibuni wamekuwa wakitoa kibano kizuri tu kwa majeshi mengine.
Leo wamempasua Mwanajeshi mmoja mitaa ya Buguruni.
Wacha wachezeee tu.. maana wanajikuta ni top sana sio kila muda ni kuvimba tu.. wana mambo ya ajabuKM kwa siku za karibuni wamekuwa wakitoa kibano kizuri tu kwa majeshi mengine.
Leo wamempasua Mwanajeshi mmoja mitaa ya Buguruni.
Ha ha ha a walimuotea tuuWacha wachezeee tu.. maana wanajikuta ni top sana sio kila muda ni kuvimba tu.. wana mambo ya ajabu
Afrika ni Afrika TuView attachment 142139
Wadau kuna vikosi vingi hapa nchini vya usalama wa wananchi,viongozi na Taifa ambavyo havijulikani kabisa kwa wananchi,sasa nimeamua kwa mtiririko kama wa series nitakua nakuja na kikosi kimoja kimoja kwa nia ya kuwafahamisha ili wakati mwingine tuwe na uelewa kidogo kuhusu usalama wetu,viongozi wetu,na nchi yetu kwa ujumla...na leo nawaletea kikosi cha KM maana yake Kikosi maalumu cha jeshi la magereza....
Kikosi cha KM kama ilivyoainishwa ni kikosi cha jeshi la magereza ambacho hutumika kutuliza fujo na kazi maalumu za jeshi la megereza kwenye magereza zote hapa nchini,Kikosi hichi kinaundwa na vijana shupavu wenye urefu usiopungua futi sita na lazima uwe na miraba minne,mavazi yao yanajumuisha ngao,nguo ngumu kwa ajili ya kujikinga na mabuti magumu sana yenye chuma kwa mbele.
utendaji wa KM ni wa ajabu sana,kwa mfano ikajulikana na mkuu wa gereza kuwa kuna watu wanataka kuanzisha fujo ya jumla gerezani? hii huwa inajumuisha wafungwa wengi sana,au kuna wafungwa wanapanga kutoroka kwa kutumia nguvu mkuu wa gereza hatawaambia kitu lakini siku hiyo mtakapofunguliwa milango ya sero zenu ili muende kazini hapo ndo ghafla mtakutana na KM mbele yenu,kwa idadi ya kutosha na hamtaona askari hata mmoja wa magereza mliemzoea,halafu wao watawatangazia kua mvue nguo zote na wao huanza kichapo cha kufa mtu bila kuwaambia sababu,mtapigwa kinyama sana hadi mtalainika tu halafu ndio wanaweza kuanza kuwahoji mkiwa hoi kabisa.
KM wanaogopeka kwasababu ni wakatili sana,utendaji wao ni wa kikatili zaidi ya field force,wao hawaogopi kitu maana kule gerezani haki ni ndogo mno,KM wengi wanavuta bhangi na wanalipwa mshara kidogo sana,na mara nyingi hawana kazi yoyote,ni hao tu wafungwa wakorofi wanaowaogopa tu! na nia hao tu ambao wana uwezo wa kutuliza ghasia kubwa kabisa gerezani.
sio kila gereza lina KM,mara nyingi vikosi vyao vipo sehemu zenye magereza makubwa tu lkn hupelekwa kwenye magereza madogo kama kukiwa na matatizo kama niliyoyasema hapo juu,kitu kimoja ambacho ukimuuliza mfungwa yeyote kuhusu KM atakujibu ni kwamba hao ni wanyama na sio binadamu,na wanawaogopa sana.
ukiwa mfungwa mkorofi,utapangiwa kwenda kufanya kazi katika kikosi cha KM kwa maana kambini kwao,maana wana kambi tofauti,hilo tu ni adhabu tosha kwa mfungwa na niamini hakuna mfungwa anaetaka mazoea na KM kwa namna ya aina yoyote ile.KM ni hatari kwa mfungwa kuliko mfungwa mwenzake hatari......
kama kuna maswali au una unachotaka kuongezea unaweza,na kesho kama sitabanwa nitawaletea habari kuhusu kikosi cha upelelezi cha jeshi( military inteligency agency) ambacho kipo Lugalo
Shukrani!
Km wanakuwaje hatari, huku wanapigana na mtu asie hata na fimbo mkuu.. ?View attachment 142139

Noma sawa, ila sio nyingi sana. Wanapiga watu wasio na siraha na wapo utupu.. hapo lazima waonekane wakali. Ili kujua ukali wao wakutanishwe na wavunja tofaliHawa jamaa ni noma kuna mshijaji yuko huko
HahahahaNoma sawa, ila sio nyingi sana. Wanapiga watu wasio na siraha na wapo utupu.. hapo lazima waonekane wakali. Ili kujua ukali wao wakutanishwe na wavunja tofali
Bora yako uliyeuliza hilo swaliKm wanakuwaje hatari, huku wanapigana na mtu asie hata na fimbo mkuu.. ?
Ngerengere ni shughuli nyingine katika special force zote za kijeshiNoma sawa, ila sio nyingi sana. Wanapiga watu wasio na siraha na wapo utupu.. hapo lazima waonekane wakali. Ili kujua ukali wao wakutanishwe na wavunja tofali
Hii hoja inafikirisha...ila kulinda 'wafungwa' sio jambo jepesi.Noma sawa, ila sio nyingi sana. Wanapiga watu wasio na siraha na wapo utupu.. hapo lazima waonekane wakali. Ili kujua ukali wao wakutanishwe na wavunja tofali
...hayo mavazi yao na maumbo yao makubwa ni silaha tosha za kuwatisha hao 'wafungwa wakorofi' wasithubutu kufanya vurugu.KMKGM = Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani
Mara ya kwanza nawaona ilikuwa gereza la Karanga, Moshi, wakiwa wamevaa full riot gear, pande za mtu, pia ni warefu. Baadae nikamuuliza bro (yeye ni ASP) inakuaje wale, ndo akaniambia kuhusu kikosi hicho.
Aliniambia urefu ni sifa yao muhimu kwa sababu wanatakiwa wawe na uwezo wa kutengeneza "ngazi-binadamu" (Human ladder). "Combat" zao zilinivutia sana.
Ngerengere ni shughuli nyingine katika special force zote za kijeshi
umetia ka ulongo kidogo; hawa KM huwa hawasuburi kuche, ndiyo maana hata usiku kuna akikosi maalum huwa kiko standby kwa lolote; lolote linapohisiwa, wao huingia mzigoni mda huo huotendaji wa KM ni wa ajabu sana,kwa mfano ikajulikana na mkuu wa gereza kuwa kuna watu wanataka kuanzisha fujo ya jumla gerezani? hii huwa inajumuisha wafungwa wengi sana,au kuna wafungwa wanapanga kutoroka kwa kutumia nguvu mkuu wa gereza hatawaambia kitu lakini siku hiyo mtakapofunguliwa milango ya sero zenu ili muende kazini hapo ndo ghafla mtakutana na KM mbele yenu